MUME AMCHANA LIVE DAVINA
![](http://api.ning.com:80/files/U4nVIpmxyNO5pwzVeEumIMb0hiJ9B6Xg4x7kkU7iDcA54keV8X-oufzUnMedu2RzpMEIUZ70fR7BK4pboqInTWlZ3rD1kTOs/Davina.jpg?width=650)
Waandishi wetu KIMENUKA! Mume wa muigizaji nyota wa filamu nchini, Halima Yahaya ‘Davina’, Abdallah Shakoor ambaye amekuwa kimya tangu kuenea kwa madai ya mkewe kutoka na staa mwenzake, Mike Sangu, hatimaye amefunguka kuhusu skendo hiyo na kudai anafuatilia kila hatua ya wawili hao na hivi karibuni atatoa msimamo wake. Muigizaji nyota wa filamu nchini, Halima Yahaya ‘Davina’. Chanzo chetu makini...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ga2iaGVWnSH3wxp2vt9Fmj39jW-juwovDYI7NXJM7zWaMYNtKkbz61LAeS5KFHGQrOh-GiyHOlAgotWT4C7tdGz-tzBgB-Bu/davina.jpg)
DAVINA: BONGO MOVIE HAIJANIPA MUME
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Snura Adaiwa Kupora Mume wa Davina
Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake ambae ni staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’.
Kwa mujibu wa chanzo cha GPL , kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo.
“Yaani mastaa wa Bongo bwana, wanapenda sana kuchukuliana mabwana. Huyu Snura...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XswnwlaLlAh92Nn5-xKrvxXM6tMarG-Ir8P0aMBGPKaDy-wi*t5y6baPFzM*MbAEuK3R52VnM3XmSvt-zl16hn7tu1LURJkY/3.jpg?width=650)
SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tBTKCkFUMvM6fZZON6KezVj0iU42N4aSOSyldOXuQHTE4AqKp0iflE*OUDEMUuKYWw-WAkYzwWh1mfWVqeHXmmTwjLra1PL9/kajala.jpg)
NORA AMCHANA KAJALA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EDr-zswlq3NxNgRoPBo1UV6RSg5oWfwnh7NqQu6Tie1NmU16SfDxVbJvIRpTRLMqbpakAHDODA1cMzqJ*UhD44UttjuabDym/Wolper.gif?width=650)
WOLPER AMCHANA CHUCHU!
10 years ago
Mwananchi08 Aug
Maalim Seif ‘amchana’ Profesa Lipumba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
OLE MEDEYE AMCHANA LEMA, ADAI AMEKULIA GHETO