NORA AWABOMOA BONGO MOVIE
![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFI4GV0B9fVPm0AWWvSiw7JYXqxk7kKz9SmzhdG*wJ7XiDAi7M44moCZwAYm0BtQbvxo-PXLBQ8WGSgJM0T6tljN/noraa.jpg)
Stori: Gladness Mallya MKONGWE kwenye kilinge cha filamu Bongo, Nora amewachana viongozi wa Bongo Movie kwa kuwasahau wakongwe kwenye gemu. Mkongwe kwenye kilinge cha filamu Bongo, Nora. Nora ambaye ni zao la kundi la maigizo la Kaole, alisema wasanii wa klabu hiyo ambayo wameibuka miaka ya hivi karibuni, wamekuwa wakijitokeza katika kila idara inayohitaji wasanii pasipo kuwashirikisha wakongwe waliotokea kwenye makundi....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ujcza9N5GbL-TM7wprC6KyCyFwV03nb*yT5z3jaeLcFG7MeABIbrubddKk4MsmialZlNHTjj1crk9QS*aB1dLAZnzu7CpDBL/nora.jpg?width=650)
UFUSKA BONGO MOVIE WAMKOSESHA DILI NORA
5 years ago
Bongo514 Feb
Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili
Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.
Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)
Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]
The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Bongo Movies10 Feb
Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva
Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao
“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...
10 years ago
Bongo Movies19 Jun
Nora: Bongo Movies Wameshaharibu Sanaa ya Uigizaji Tanzania
MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ amedai kuwa ‘Bongo Movies’ wameharibu sanaa ya uigizaji hapa Tanzania. Nora amefunguka hayo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa lokesheni wakishuti movie.
"Naipenda kazi yangu na ninaiheshim sanaaaaa hii ndo sanaa ilionikuza mpaka leo na bado nakua nayo Mungu afungue heri zake lol tunajua kukomaaa ila nais Mungu ndo ameandika.
Nitatumia kipaji changu akili yangu kuwatumikia...
10 years ago
Bongo509 Feb
PAPASO: Florah Mvungi adai Bongo Movie hawapendani na AT asema Bongo Fleva imejaa majungu tupu
10 years ago
CloudsFM31 Jul
Nora Awananga Wanaodai Ameshazeeka..Adai yeye Ajagalagazwa Ovya Kama Hao Wengine wa Bongo Movies
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, mkali wa sanaa ya uigizaji hapa Bongo, Nora amefunguka haya kwa wale wote wanaomponda eti amezeeka
Hivi nyinyi mnaoniambia mzee amuoni aibu loooo..hahahahhaaa mana mnafanya siku yangu iwe nzuri ni jinsi gani nawaumiza mpaka mnalopoka kama mmetoka usingizini.Hivi mimi mnaweza kujifananisha na nyinyi, hoooo ninamiaka mingi kweli na nimewazidi vingi sana, tabia, muonekano…haaaa mi sijagalagazwa ovyo nilijiheshimu tangu...