Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Najuta kujiingiza kwenye matumizi ya bangi — Mr Blue

Rapper Mr Blue amesema kuingia kwenye uvutaji wa bangi kulimsabisha aache shule na kutaka kukaa kijiweni zaidi. Mr Blue aliliambia gazeti la Mwananchi kuwa, kuna vitu vingi ameshindwa kufanya kotokana na kuwa mtumwa wa bangi. “Najuta kujiingiza kwenye matumizi ya bangi,” anasema. “Siwezi kusema ni madawa ya kulevya kama inavyojulikana kwa unga na cocaine. Sijawahi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MR BLUE :Sasa nimeacha kuvuta bangi asema ukiamua unaweza

Matumizi ya dawa za kulevya, hususan bangi bado ni changamoto kubwa kwa vijana wengi nchini ambapo hujikuta wakitumbukia katika ulevi kuishia kujutia maamuzi yao.

 

10 years ago

GPL

BARNABA AZUSHIWA KUJIINGIZA KWENYE INJILI

Staa  wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Jumba la Vipaji (THT), Barnabas Elius a.k.a Barnaba. Boniphace Ngumije STAA wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Jumba la Vipaji (THT), Barnabas Elius a.k.a Barnaba hivi karibuni alizushiwa na baadhi ya watu wakiwemo marafiki zake wa karibu kuwa amejiingiza kwenye uimbaji wa nyimbo za Injili jambo ambalo amelikanusha vikali. Akichonga na Centre Spread, Barnaba alisema taarifa hizo za...

 

9 years ago

Mtanzania

Irene Uwoya awataka wasanii kujiingiza kwenye biashara

ireneeeNA THERESIA GASPER

MKALI wa filamu nchini, Irene Uwoya, amewataka wasanii wenzake hasa wanawake kujituma katika kazi nyingine kama vile biashara ili kuweza kujikomboa kimaisha.

Irene amesema wasanii wengi wanategemea sanaa ili kuweza kuendesha maisha yao, lakini wanatakiwa kufanya mambo mengi ili kuweza kujiingizia kipato.

Akizungumza na MTANZANIA jana alisema yeye ana ofisi ambayo inajishughulisha na ushonaji wa nguo za aina zote ambayo inamsaidia kuingiza kipato na huwa anashona.

“Natumia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaswa wakisafirisha bangi kwenye basi

JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu watano kwa kosa la kukutwa wakisafirisha bangi magunia matano katika gari la abiria aina ya Toyota Coaster. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini...

 

10 years ago

Africanjam.Com

BANGI YAHALALISHWA KWENYE JIMBO LINGINE MAREKANI

Habari zinasema kwamba Marekani kuna Majimbo kama Alaska, Colorado, Nevada na New York wao wamehalalisha matumizi ya Bangi na mtu anaruhusiwa kuwa nayo kwa kiasi kidogo tu.. Gavana wa Jimbo la Delaware Marekani, Jack Allan Markell kaingia kwenye Headlines leo baada ya kusaini Sheria inayoruhusu matumizi ya bangi.
Kwenye Sheria hiyo mtu wangu huruhusiwi tu kuvuta sehemu ya watu wengi, na kama ukikamatwa umekiuka kanuni hiyo fine yake imepunguzwa pia kutoka Dola 1,150 mpaka Dola 100 tu !!Jumla...

 

10 years ago

Vijimambo

Diamond akimtaja Zari kwenye wimbo wa Mr Blue 'Pesa'

Sikiliza Diamond akimsifia mpenzi wake Zari jittiririshe hapa chini kwenye soma zaidi

 

9 years ago

MillardAyo

Mr Blue kwenye headlines za kuanzisha idea ya jina la Simba analolitumia Diamond Platnumz….

Itakuwa sio mara yako ya kwanza kuona jina la Simba likitumika katika post za Diamond Platnumz hasa kupitia mtandao wa instagram, sasa leo Dec 28 Mr Blue kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika madai na kusema kuwa ndio mwanzilishi wa idea wa jina la Simba. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram aliandika madai hayo kwa […]

The post Mr Blue kwenye headlines za kuanzisha idea ya jina la Simba analolitumia Diamond Platnumz…. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

ON STAGE: WEUSI, Maua, FA, AY, Blue, Belle 9, Dimpoz na Msami kwenye After School Bash 2015 (video)

Ni kutoka kwenye tamasha ‘After Skul Bash’ lililoandaliwa na XXL ya CloudsFM December 12 2015 Escape One Mikocheni Dar es salaam ambapo wakali wengi wa bongofleva walitokea kuonyesha uwezo wao kwenye jukwaa bonyeza play kwenye hii video ujionee.. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda […]

The post ON STAGE: WEUSI, Maua, FA, AY, Blue, Belle 9, Dimpoz na Msami kwenye After School Bash 2015 (video) appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani