Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND: NAJUTA KUWA STAA

Stori: SHAKOOR JONGO
Exclusive Interview! Staa anayeuza zaidi kwa sasa kwenye muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ amefungukia skendo ambazo zimekuwa zikimtafuna kila kukicha huku akieleza kuwa, sasa anajuta kuwa staa, Ijumaa lina mzigo kamili. Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’. Akizungumza na paparazzi wetu katika mahojiano maalum wiki hii, Diamond alisema kuwa amekuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

STAA WA KESHO: Binti wa Msanii Kajala, Paula Azidi Kuwa Mrembo

Mtoto wa  msanii wa filamu na Mkurugenzi wa K. Entertainment, Kajala Masanja, Paula Paul ukipenda muite Paulitte. Sasa hivi anaoneka amekuwa binti mkubwa  na mrembo zaidi….Mbali na kuwa mama yake ni staa mkubwa kwa upande wa Bongo Movie, baba yake , P. Funk  aka Majani pia ni mtayarishaji wa music mkongwe na mwenye mafanikia makubwa kwenye upande wa Bongo Flava. Paula japokuwa bado yupo shule lakini maisha yake ya kuwa karibu sana na mama yake kwa ujumla yanamfanya ajuane na ajulikane sio tu...

 

10 years ago

GPL

JOKATE: MAPENZI YA STAA KWA STAA MBONA POA TU!

Jokate Mwegelo ‘Kidoti’. Saphyna Mlawa, Dar es Salaam
ANAJULIKANA kwa jina la Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, alianza kupata umaarufu kupitia fani ya urembo lakini kwa sasa sauti yake kusikika kwenye Bongo Fleva na kazi zake za urembo ndizo zinamfanya asomeke kwenye vyombo vya habari. Mwanamuziki Ali Kiba. Jokate ambaye alitumia alama iliyopo kwenye uso wake kujipa jina la utani la Kidoti, amezungumza na...

 

11 years ago

Bongo5

Ben Pol adai uhusiano wa miezi 9 na Latifa ni mrefu zaidi aliowahi kuwa nao tangu awe staa

Uhusiano na mshindi wa pili wa Miss Tanzania 2013, Latifa Mohamed wenye miezi tisa sasa, ndio uhusiano mrefu zaidi aliowahi kuwa nao Ben Pol tangu awe staa. Ben Pol ameiambia Bongo5 kuwa mahusiano yake yaliyopita yalishindwa kudumu kwakuwa wasichana wengi walikuwa na matarajio makubwa kutoka kwake kwakuwa yeye ni msanii. “Sasa hivi tuna miezi tisa, […]

 

9 years ago

Bongo Movies

Hivi Ndivyo Staa Diamond Akiwa na Mama Tiffah Pamoja na Dada Zake Walivyo Sherekea BOXING DAY

MAISHA YA KISTAA: Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum amesherekea siku ya Boxing Day kwa kupunga upepo baharini akiwa na mama motto wake, Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ pamoja na dada zake , Esma Platinum na Queen Darleen.

Vilevile meneja wa diamond Sallam na staa mkongwe AY walikuwepo kwenye boti ambayo Diamond aliltumia kumpeleka  fukwe za mbali.

Jionee Picha

diamond2342

diaomond82

Diamond na Zari

zari8934

Diamond na Zari

zari334

Diamond na Zari

diamond772 diamond232 zari8923

 

9 years ago

Bongo5

Layla (Voice Fairy) – Msanii chipukizi wa Bongo aliyeshinda shindano la Yemi Alade na kuwa staa kwa kuimba cover za wasanii

11253897_955031214568617_1983885996_n

Kwa wapenzi wa mtandao wa Instagram, jina na sura ya Layla aka The Voice Fairy sio vigeni.

11253897_955031214568617_1983885996_n

Muimbaji huyo wa Mwanza anayeishia Dar es Salaam kimasomo amejipatia umaarufu kwenye ulimwengu wa Instagram kwa kuimba nyimbo za wasanii wengine (cover) kabla hata ya kurekodi wimbo wake ‘Hoi Hoi’ uliotoka wiki iliyopita.

10249313_428053124072355_1371821855_n

“Napenda sana kuimba nyimbo za watu napost kwenye Instagram yangu,” Layla alikiambia kipindi cha The Bridge cha Radio Free Africa, Jumapili, Nov 15.

“So hiyo ilinijengea...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi

Ikiwa ni zaidi ya wiki moja toka mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta itangazwa kauwawa kwa risasi, December 28 mitandao mingi ya Ulaya imeripoti kifo cha staa mwingine wa soka aliyeuwawa kwa kupigwa risasi. December 27 aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya El Salvador Alfred Pacheco ameuawa kwa kupigwa na risasi wakati akiwa […]

The post Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi appeared first on...

 

11 years ago

GPL

RACHEL: NAJUTA KUTAMANI KUOLEWA

Rachel Daudi Mwegola akiwa ndani ya Global TV Online. MSANII wa filamu Bongo, Rachel Mwegoha amefunguka ya moyoni kuwa anajuta kutamani kuolewa.
Akifanya mahojiano kupitia kipindi cha Mtu Kati kinachorushwa na Global TV Online, Rachel alisema kuwa anajuta jinsi alivyoutumia vibaya ujana wake kwa kuelekeza nguvu nyingi katika kutamani ndoa na mwisho kujikuta akiambulia maumivu. “Nilikuwa nikitamani sana kuolewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani