Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA: NAJUTA KUMLIPIA KAJALA MIL 13!

Stori:Na Shakoor Jongo KAMA kuna kitu kinakukwaza ndani ya moyo wako, siku zote ukikaa nacho kitazidi kukuumiza lakini ukiamua kumtafuta mtu ambaye umeshibana naye na kumsimulia, moja kwa moja utakuwa umeutua mzigo! Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ akiwa Kajala Masanja. Hicho ndicho amekifanya Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kwa kuweka kweupe chanzo cha ugomvi wake na staa mwenzake, Kajala...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

"Kajala ni rafiki MBAYA KULIKO WOTE DUNIANI, NAJUTA kumsaidia" - Wema Sepetu

HATARI BALAA!, Wema finally kaamua kufunguka kuhusu Kajala.  Yani kamwaga ubuyu wote! kaongeaaaaaaaaa mpaka mwisho, ni hatari sana!

Amedai Kajala is the worst friend she has ever had. Na kasema ana regret kumsaidia Kajala,ile kumlipia kumtoa jela anasema anaregret vibaya sana.

Tusimalize uhondo. Msikilize mwenyewe akiongea HAPA

 

10 years ago

Bongo Movies

Kajala Atamani Kumlipa Wema Mil.13 Zake

Staa  mrembo  wa Bongo Movies, Kajala Masanja  kwa mara ya kwanza  ameibuka  na kutoa ya moyoni kuwa anatamani kulipa shilingi milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake  Wema Sepetu kama faini ili asiende jela miaka saba.

Akizungumza na gazeti la Amani, Kajala  alisema  kuwa huwa anaumia sana kila anapokumbuka kuwa alipewa kiasi hicho chapesa ingawa uwezo wa kulipa anao.

“Huwa  nateseka  sana kila ninapokumbuka kuwa nilitolewa 13 japokuwa naaamini alitoka kwa mmoja,kinachoniuma muhusika...

 

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

10 years ago

Bongo Movies

'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema

Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao

ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.

Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...

 

11 years ago

GPL

KAJALA: SIMLIPI MIL.13 NG'O!

JAMBO limezua jambo! Zile shilingi milioni 13 alizolipa staa mkubwa wa kike Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ mahakamani ili kumnusuru Kajala Masanja kwenda gerezani, zinaendelea kusababisha fukuto na sasa Kajala amejibu mapigo, akisema hatamlipa Wema fedha hizo. Malkia wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja. Wema na Kajala wapo kwenye gogoro zito kwa muda mrefu huku mashabiki wa mastaa hao waliojipa...

 

9 years ago

GPL

KAJALA AANGUSHA PATI YA MIL.7

Na imelda mtema Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja juzi kati aliangusha bonge ya pati iliyogharimu takriban shilingi milioni saba ikiwa ni sehemu ya kujipongeza kwa kazi ngumu ya ujaji aliyokuwa akiifanya kwenye shindano la kusaka vipaji la Kinondoni (K.T.S) ambapo kwenye pati hiyo watu walikunywa, kula na wengine walilewa kwa pombe kali. Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwakaribisha wageni waalikwa. Akichonga na Ijumaa,...

 

10 years ago

GPL

KAJALA AMWANGUKIA WEMA

Waandishi wetu
KWELI dhamira inauma! Staa mkali wa sinema za Bongo, Kajala Masanja ameamua kukifungua kinywa chake na kusema kuwa anamwomba msamaha zilipendwa wake katika urafiki, Wema Isaac Sepetu kwa mabaya yote aliyomtendea, Amani linakupa zaidi. Staa mkali wa sinema za Bongo, Wema Sepetu. Akizungumza katika mahojiano maalum na  mapaparazi wetu mapema wiki hii jijini Dar, Kajala alisema hata kama kuna chuki ya ukubwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani