Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wassira- Si dhambi kutamani kuwa Rais

KAMATI ndogo ya maadili ya CCM jana iliendelea kuhoji wanachama wake ambao wanatajwa kuanza harakati za urais kinyume na utaratibu wa chama. Jana ilikuwa zamu ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Uhusiano na Uratibu, Steven Wassira.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Utendaji Wa Rais Magufuli wawafanya Wakenya kutamani awe Rais wao

Raia wa Kenya wamewataka Watanzania kutoa ushirikiano kwa Rais Dokta John Magufuli katika juhudi zake ya kupambana na Ufisadi na Ubadhilifu wa mali za umma anazoendelea kuzichukua tangu aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba tano mwaka huu.

Wakenya hao wamesema kimsingi hata wao wanatamani kuwa na Rais  kama Dokta Magufuli kwa sababu ameonesha kuwa ni Mzalendo anayeipenda nchi yake na anayepigania maslahi ya wananchi masikini ambao kwa miaka kadhaa wamekosa fursa ya...

 

11 years ago

Mwananchi

MSEMAKWELI: Tuache kuwageuza wenye VVU kuwa watenda dhambi

>Nianze kwa kukusimulia kisa kimoja cha kusikitisha kilichomkuta msichana mmoja. Kisa hiki naamini kinawakuta watu wengi kwa njia tofauti, hasa wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU).

 

10 years ago

GPL

ASKOFU NZIGIRWA ASICHUME DHAMBI JUU YA DHAMBI

Askofu Eusebius Nzigirwa. WIKI iliyopita  niliandika mada juu ya viongozi wa dini kushindwa kunilisha neno juu ya sakata la Escrow. Nilikosoa mahubiri yao ya Sikukuu ya Krismasi yaliyoishutumu zaidi serikali katika ufisadi huku wakiacha kuwazungumzia viongozi wenzao wa dini ambao wanatajwa kujipatia mgao wa fedha zenye utata. Niliwaambia viongozi wa dini nchini kuwa, siyo sawa kujihusisha na utoaji wa kibanzi kwenye jicho la...

 

11 years ago

GPL

RACHEL: NAJUTA KUTAMANI KUOLEWA

Rachel Daudi Mwegola akiwa ndani ya Global TV Online. MSANII wa filamu Bongo, Rachel Mwegoha amefunguka ya moyoni kuwa anajuta kutamani kuolewa.
Akifanya mahojiano kupitia kipindi cha Mtu Kati kinachorushwa na Global TV Online, Rachel alisema kuwa anajuta jinsi alivyoutumia vibaya ujana wake kwa kuelekeza nguvu nyingi katika kutamani ndoa na mwisho kujikuta akiambulia maumivu. “Nilikuwa nikitamani sana kuolewa...

 

10 years ago

Michuzi

Chifu Wanzagi akanusha taarifa zilizoandikwa kuwa Makongoro hatoshi kuwa Rais

 Chifu wa Kabila la Wazanaki Japhet Wanzagi (wapili toka kulia)i akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya alichotaja kuwa ni upotoshwaji uliofanywa na gazeti moja la kila siku kuhusu taarifa za kutaja sifa za rais ajaye na kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais alidai taarifa za  kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais si za kweli bali amelishwa maneno).Wengine ni baaadhi ya wanafamilia na rafiki wa chifu huyo mapaema hii leo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wadau Wamshambulia Faiza, Kwa Bandiko Lake Mtandaoni la Kutamani Kufanya Ngono

Kufuatia andiko la staa mrembo  kutoka Bongo Movies, Faiza Ally ambae ni mzazi mwenzie na mbunge wa CHADEMA , Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ aliloandika kwenye ukurasa wake mtandaoni akidai kuwa anatamani kufanya mapenzi kwani ni muda mrefu sana hajafanya mapenzi.

“Natamani sana kufanya SEX nikikwambia Nina muda gani sijafanya huwezi kuamini - I NEED SEX ..GOOD ONE”-Faiza Aliandika.

Mara baada ya bandiko hilo wadau na mashabiki wengi walimshambulia kwa maneneo kuwa kama mwanamke na mama wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema: Ningependa Rais Kikwete Aendelee Kuwa Rais

Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu amenukuliwa na gazeti la Mwananchi la jana akieleza kuwa angependa Rais Jakaya Kikwete ambaye anamaliza muda wake  wa urais unamalizika mwishoni mwaka huu, agombee tena kwa awamu nyingine.

Akizungumza kuhusu siasa Wema alisema yeye ni shabiki mkubwa wa CCM, ingawa kuna baadhi ya vitu vinamkera na inabidi vifanyiwe kazi ili kujiimarisha.

Alisema anaupenda utendaji wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kutokana na vitu vingi alivyofanya katika kipindi cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani