ASKOFU NZIGIRWA ASICHUME DHAMBI JUU YA DHAMBI
![](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/Nzigilwa-bishop.png?width=650)
Askofu Eusebius Nzigirwa. WIKI iliyopita niliandika mada juu ya viongozi wa dini kushindwa kunilisha neno juu ya sakata la Escrow. Nilikosoa mahubiri yao ya Sikukuu ya Krismasi yaliyoishutumu zaidi serikali katika ufisadi huku wakiacha kuwazungumzia viongozi wenzao wa dini ambao wanatajwa kujipatia mgao wa fedha zenye utata. Niliwaambia viongozi wa dini nchini kuwa, siyo sawa kujihusisha na utoaji wa kibanzi kwenye jicho la...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wjLHhX7eljzUiklHmwFHlnolwnAidNHRhGELv5mq4FO4d2jpMqnRHxVojCRXX1S*DxNC93p2voNqfcFLFTsQiCpodiAyWNWP/zaricopy.jpg?width=650)
DHAMBI YA PASAKA!
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Mshahara wa dhambi ni mauti!
RAIS wangu, maandiko yanasema mshahara wa dhambi ni mauti. Kwakuwa tulikubali kuitenda dhambi basi mauti yetu ni stahiki yetu! Nchi imeelemewa na mizigo yakuletewa. Miongoni mwetu wako watu fahamu zao...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Kwanini kujizulu kuwe dhambi?
TAIFA hivi sasa lipo katika homa ya uteuzi na mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, vyote hivyo vinatarajiwa kufanyika wakati wowote kuanzia sasa baada ya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa...
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Mar
Dhambi ya ubaguzi inaiua CHADEMA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema dhambi ya ubaguzi ndani ya CHADEMA inaiua na sio kwamba kuna mkono wa CCM.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Mto wa Mbu.
Nape alisema CHADEMA inaelekea kufa kutokana na kukumbatia dhambi ya ubaguzi na umwagaji wa damu za wananchi wasio na hatia.
ìTulijua watasema kuwa sisi CCM tumeingiza mkono wetu ndani ya chama chao, hiyo si kweli....
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Askofu Kilaini, Nzigirwa wazungumzia tuhuma
11 years ago
Habarileo15 Feb
Wassira- Si dhambi kutamani kuwa Rais
KAMATI ndogo ya maadili ya CCM jana iliendelea kuhoji wanachama wake ambao wanatajwa kuanza harakati za urais kinyume na utaratibu wa chama. Jana ilikuwa zamu ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Uhusiano na Uratibu, Steven Wassira.
10 years ago
Mwananchi25 Feb
Si dhambi kumjadili Mwalimu tunapotaka mabadiliko
10 years ago
Raia Tanzania09 Jul
Spika, hutakwepa dhambi ya kulibomoa taifa
MARA mbili katika kipindi cha chini ya miaka miwili, Bunge la Tanzania limeonyesha vioja kwa kugeuka jukwaa la kutetea maslahi ya wenye nguvu – wanasiasa, wafanyabiashara wakubwa, mafisadi na wawekezaji matapeli.
Mara ya kwanza ni mwaka jana (2014), pale Bunge Maalumu la Katiba lilipoichana chana Rasimu ya Mapendekezo ya Katiba ya Tume ya Jaji Joseph Sinde Warioba, yaliyotokana na wananchi na badala yake likapandikiza chini ya usimamizi wa Spika, kwa sehemu kubwa, ibara zenye kutetea...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Kujadili Muungano isiwe dhambi, usaliti
KWA muda mrefu Watanzania walikuwa wameaminishwa kuwa kuhoji, kukosoa au kujadili masuala yanayohusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika Aprili 26, mwaka 1964 ni dhambi au usaliti. Dhana hiyo kwa...