Dhambi ya ubaguzi inaiua CHADEMA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema dhambi ya ubaguzi ndani ya CHADEMA inaiua na sio kwamba kuna mkono wa CCM.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Mto wa Mbu.
Nape alisema CHADEMA inaelekea kufa kutokana na kukumbatia dhambi ya ubaguzi na umwagaji wa damu za wananchi wasio na hatia.
ìTulijua watasema kuwa sisi CCM tumeingiza mkono wetu ndani ya chama chao, hiyo si kweli....
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/Nzigilwa-bishop.png?width=650)
ASKOFU NZIGIRWA ASICHUME DHAMBI JUU YA DHAMBI
5 years ago
BBCSwahili21 Jun
Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XS0VdRDz2qA/U2NPpWh4jmI/AAAAAAAFe2A/IyWNMyNtB7c/s72-c/unnamed.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wjLHhX7eljzUiklHmwFHlnolwnAidNHRhGELv5mq4FO4d2jpMqnRHxVojCRXX1S*DxNC93p2voNqfcFLFTsQiCpodiAyWNWP/zaricopy.jpg?width=650)
DHAMBI YA PASAKA!
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Mshahara wa dhambi ni mauti!
RAIS wangu, maandiko yanasema mshahara wa dhambi ni mauti. Kwakuwa tulikubali kuitenda dhambi basi mauti yetu ni stahiki yetu! Nchi imeelemewa na mizigo yakuletewa. Miongoni mwetu wako watu fahamu zao...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Kwanini kujizulu kuwe dhambi?
TAIFA hivi sasa lipo katika homa ya uteuzi na mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, vyote hivyo vinatarajiwa kufanyika wakati wowote kuanzia sasa baada ya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa...
10 years ago
Raia Tanzania16 Jul
Ukawa mkifarakana, dhambi ya usaliti itawatafuna
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umekuwa katika misukosuko ambayo bila hekima na busara, uzalendo na ukomavu wa kisiasa wa viongozi na wanachama wake inawezekana kabisa tukawa tunazungumza lugha tofauti.
Ile ndoto na utabiri wa wasioitakia heri na mema nchi hii wa kufikia umoja huo kusambaratika inaweza kutimia na hilo bila shaka litakuwa anguko kuu la ukuaji wa demokrasia katika taifa lakini pia litakuwa pigo kubwa kwa harakati za ukombozi wa kweli wa Tanzania dhidi ya rushwa na...
11 years ago
Habarileo15 Feb
Wassira- Si dhambi kutamani kuwa Rais
KAMATI ndogo ya maadili ya CCM jana iliendelea kuhoji wanachama wake ambao wanatajwa kuanza harakati za urais kinyume na utaratibu wa chama. Jana ilikuwa zamu ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Uhusiano na Uratibu, Steven Wassira.
10 years ago
Bongo Movies07 Dec
MAINDA: Mastaa Bongo Wamejaa Dhambi
WAKATI tukiwa tunakaribia kumaliza mwaka 2014, msanii wa filamu Ruth Suka ‘Mainda’, amedai kuwa hakuna jambo ambalo mastaa wa Bongo wamelifanya zaidi ya kuchuma dhambi na kutumia muda mwingi kupigana majungu kuliko kumcha Mungu kwa matendo mema.
Akizungumza na gazeti la Uwazi, Mainda alisema kuwa ndani ya tasnia ya filamu bado mambo ni magumu kwani mastaa wengi wamekuwa nyuma na matendo ya Mungu kwa kufanya anasa kila kukicha huku wengine wakizidi kuchafuana kwa kupigana majungu.
“Ni kweli...