Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa mkifarakana, dhambi ya usaliti itawatafuna

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umekuwa katika misukosuko ambayo bila hekima na busara, uzalendo na ukomavu wa kisiasa wa viongozi na wanachama wake inawezekana kabisa tukawa tunazungumza lugha tofauti.

Ile ndoto na utabiri wa wasioitakia heri na mema nchi hii wa kufikia umoja huo kusambaratika inaweza kutimia na hilo bila shaka litakuwa anguko kuu la ukuaji wa demokrasia katika taifa lakini pia litakuwa pigo kubwa kwa harakati za ukombozi wa kweli wa Tanzania dhidi ya rushwa na...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kujadili Muungano isiwe dhambi, usaliti

KWA muda mrefu Watanzania walikuwa wameaminishwa kuwa kuhoji, kukosoa au kujadili masuala yanayohusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika Aprili 26, mwaka 1964 ni dhambi au usaliti. Dhana hiyo kwa...

 

11 years ago

GPL

USALITI HAUNA NGUVU, SHETANI WA USALITI NI AKILI ILIYOKOSA MALENGO-3

Tuendelee pale kwenye simulizi ya msomaji wangu Lauryn Joe na kisa chake cha kutoka kimapenzi na kijana mpangaji mwenzake Paul. Stori yake inafundisha jinsi nyoyo iliyokosa malengo inavyoweza kutenda usaliti. Amini kwamba usaliti hauna nguvu. Lauryn hakuwahi kuvutiwa na Paul. Yeye ni mke wa mtu, kwa hiyo siku zote alijihesabu katika kundi la wanawake waaminifu sana katika ndoa. Awali alimchukulia Paul kama shemeji yake kwa sababu...

 

11 years ago

GPL

USALITI HAUNA NGUVU, SHETANI WA USALITI NI AKILI ILIYOKOSA MALENGO-10

“Nilikwenda kufungua mlango, kumbe alikuwa mume wangu. Kwa kiasi fulani nilishtuka, maana kwa muda huo sikumtarajia kabisa. Hata yeye aliutambua mshtuko wangu, akaniuliza mbona nimeshtuka? Kabla sijajibu akaniuliza nimeanza lini tabia ya kufunga mlango mkubwa mchana? “Nilimjibu mshtuko wangu ni kwa sababu sikumtarajia muda huo nyumbani. Kuhusu mlango nilimwambia niliufunga ili majirani waone hakuna mtu. Kama ambavyo...

 

11 years ago

GPL

USALITI HAUNA NGUVU, SHETANI WA USALITI NI AKILI ILIYOKOSA MALENGO-7

Mkasa wa Lauryn (si jina lake halisi), ni somo kwako namna mtu anavyoweza kusaliti ndoa. Mara nyingi tego la usaliti huanza taratibu kama utani, ukiliruhusu hutawala na kukutesa kihisia, usipoyashinda hayo mateso hujikuta unaangukia dhambini. Lauryn aliisababishia ndoa yake misukosuko mingi. Kosa kubwa alilolifanya ni kutoka kimapenzi na kijana Paul aliyekuwa mpangaji mwenzake. Katika mfululizo wa simulizi yake, anaelezea jinsi...

 

11 years ago

GPL

USALITI HAUNA NGUVU, SHETANI WA USALITI NI AKILI ILIYOKOSA MALENGO-6

Kuna hoja nzito kimantiki katika mada hii. Uchambuzi na ufafanuzi wa kina, vilishajitosheleza lakini nikaona kuna maana kubwa katika kufundisha kwa mifano. Msomaji wangu Lauryn ameamua kuiweka wazi stori yake, jinsi alivyotoka kimapenzi nje ya ndoa na kijana Paul ambaye alikuwa mpangaji mwenzake. Alishaeleza mengi huko nyuma, lakini wiki iliyopita aliishia hapa: “Sisemi uongo, siku hiyo ndiyo nilikuwa napokea kwa mara ya...

 

11 years ago

GPL

USALITI HAUNA NGUVU SHETANI WA USALITI NI AKILI ILIYOKOSA MALENGO-5

Makala yetu inajieleza kwa kichwa chake hapo juu. Nilishafafanua kinagaubaga jinsi ambavyo usaliti usivyo na nguvu, isipokuwa akili iliyokosa malengo ndiyo inaweza kutenda dhambi hiyo. Katika kufundisha kwa mifano, nakuletea mfululizo wa mkasa wa Lauryn ambaye ni mke wa mtu, alipojikuta anasaliti ndoa yake kwa kutoka kimapenzi na kijana Paul ambaye ni mpangaji mwenzake. Nikukumbushe alipokomea hapa; “Nilipotoka chumbani kwa...

 

11 years ago

GPL

USALITI HAUNA NGUVU, SHETANI WA USALITI NI AKILI ILIYOKOSA MALENGO-4

KARIBU msomaji wangu, nakuomba tuendelee kuusoma mkasa wa Lauryn ambaye alijikuta akiisaliti ndoa yake kwa sababu ya mazoea yasiyofaa na kijana mpangaji mwenzake anayeitwa Paul. Wiki iliyopita aliishia hapa: “Ile nageuka tu kukimbia, sijui kama ni makusudi au bahati mbaya, Paul alinivuta ile khanga moja niliyovaa. Lilikuwa ni tukio baya zaidi katika maisha yangu, maana ukweli ni kwamba Paul ni mdogo kwangu kwa umri,...

 

10 years ago

GPL

ASKOFU NZIGIRWA ASICHUME DHAMBI JUU YA DHAMBI

Askofu Eusebius Nzigirwa. WIKI iliyopita  niliandika mada juu ya viongozi wa dini kushindwa kunilisha neno juu ya sakata la Escrow. Nilikosoa mahubiri yao ya Sikukuu ya Krismasi yaliyoishutumu zaidi serikali katika ufisadi huku wakiacha kuwazungumzia viongozi wenzao wa dini ambao wanatajwa kujipatia mgao wa fedha zenye utata. Niliwaambia viongozi wa dini nchini kuwa, siyo sawa kujihusisha na utoaji wa kibanzi kwenye jicho la...

 

11 years ago

Michuzi

SI DHAMBI KUTUMIA KATIBA ILIYOPO SASA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO ENDAPO UKAWA WATAGOMA KURUDI BUNGENI - PINDA

Video imepigwa na Dixon Busagaga wa 
Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani