Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIJANA MTANASHATI ATAFUTA MCHUMBA WA KUOA: Ona picha yake na sifa za mchumba huyo anayemtaka apo chini


Master Oscar John
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo vyangu atakuwa ndio mke wangu wa ndoa. Kifupi mi ni mtaalam wa IT naishi Dar es salaam.  Mchumba ninaye mtaka ni vema awe amekulia malezi ya kidini kwa sababu mimi ni mcha Mungu na napenda kusali kwa hiyo napenda na yeye awe hivyo, malezi yangu ni ya dini ya kikristo ni vema na yeye akawa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MCHUMBA: MSINIUMIZE NA PICHA FEKI ZA MAREHEMU RECHO

Mume wa Marehemu Rachel aitwaye George Sagunda. Hapa ndipo alipozikwa marehemu Sheila Haule ‘Recho’. Shimo dogo ndo alizikwa mtoto wake aliyefariki muda mfupi baada ya kumzaa!… Stori: Erick Evarist
MCHUMBA ambaye alifikia hadhi ya mume wa mwigizaji marehemu Sheila Haule…

 

10 years ago

GPL

PICHA ZA NGONO ZA NAY ZAMLIZA MCHUMBA’KE!

Na Musa MAteja
Udhalilishaji! Picha za ngono zilizozagaa katika mitandao ya kijamii za Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, zikimuonesha akifanya ufuska na mrembo chumbani zimemliza mchumba’ke, Siwema ambaye ameamua kumsusia mtoto wao mchanga. Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, akifanya ufuska na mrembo chumbani. Habari kutoka chanzo cha kuaminika...

 

10 years ago

GPL

TAZAMA PICHA ALIZOPOSTI MCHUMBA WA NAY MTANDAONI

Mchumba wa staa wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' , Siwema Edson ' Mama Curtis' amepost leo picha za mahaba akiwa kitandani na mzazi mwenzie huyo kupitia Account yake ya Instagram.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha ya Wema Sepetu na ‘Mchumba’ wa Linnah Yazua Utata

Picha iliyosambaa mtandaoni ya Staa wa Bongo Movie,Wema Sepetu akiwa na aliyekuwa mchumba wa msanii wa Bongo Fleva,Linnah Sanga aitwaye Naga imezua utata baada ya mashabiki wa mwigizaji huyo kuhisi huenda amejiweka kwa mwanaume huyo baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz.

Taarifa kutoka ‘kitaani’zinasema kuwa wawili hao wameingia kwenye uhusiano wa kimapenzi ili kulipiza kisasi cha miaka kadhaa iliyopita baada ya kusemekana kuwa Linnah aliwahi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mchumba wa Chilole, Nuh Mziwanda Amkana Msichana Aliyedai Kuwa na Mimba Yake

Mchumba wa Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva Zuwena Mohammed ‘Shilole’,  Nuh Mziwanda amefunguka baada ya msichana Rose John kudai kuwa ana ujauzito wa miezi miwili wa msanii huyo.

Msichana huyo alizungumza jana kupitia Uheard na Soud Brown ambapo alisema kuwa amekuwa na uhusiano na Nuh kwa miaka miwili lakini walitengana baada ya kusikia ana uhusiano na msanii Shilole na kwamba amechora tatuu ya jina lake.

Niliachana naye baada ya kusikia na uhusiano na Shilole na pia amechora tatuu ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini

Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha  wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.

Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...

 

10 years ago

Vijimambo

EXCLUSIVE: ALLY REHMTULA ATAFUTA MWANAMKE WA KUOA


Ni exclusive news kutoka kwa Fashion Designer Ally Rehmtullah, ambaye 2014 alimake headline kwenye mitandao ya kijamii mara baada ya kuandaa keki kwenye birthday yake iliyoleta utata katika jamii kufuatia shape ya keki hiyo kuwa na umbile la mwanaume na hatimaye Ally kunyonya umbo lenye shape ya uume kwenye ile keki. Mbali na hilo hii ni mpya nyingine kutoka kwa designer huyo ambaye ametoa exclusive nyingine ya kutafuta mkeWakati akifanya exclusive mahojiano na mwandishi wetu alizungumzia...

 

11 years ago

GPL

MCHUMBA WA KUAMBIANA AIBUKA!

Stori: Hamida Hassan na Musa Mateja
MAMBO yameanza! Siku mbili tu baada ya mazishi ya mwigizaji na mwongoza filamu mahiri Bongo, marehemu Adam Kuambiana, mrembo mmoja ameibuka na kusema alikuwa mchumba wa marehemu, Ijumaa linakujuza. Mrembo anayejulikana kwa jina la Lulu Jumanne ‘Selina’. Kwa mujibu wa mrembo huyo, Lulu Jumanne ‘Selina’, alifahamiana na marehemu Kuambiana mwaka 2006 akamwambia ndoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani