PICHA ZA NGONO ZA NAY ZAMLIZA MCHUMBA’KE!
![](http://api.ning.com:80/files/uFCQvH3jdgDCWoLVWzuTtrxGL0Qz*L*UANpnp1vCnuAzCzkbyyQRgnHcFqIsGGDYZLRdNYthv1kAdPukRc6ze3fIKbK1lmWV/NEY.jpg)
Na Musa MAteja Udhalilishaji! Picha za ngono zilizozagaa katika mitandao ya kijamii za Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, zikimuonesha akifanya ufuska na mrembo chumbani zimemliza mchumba’ke, Siwema ambaye ameamua kumsusia mtoto wao mchanga. Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, akifanya ufuska na mrembo chumbani. Habari kutoka chanzo cha kuaminika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0uMX6j0VBUn4lfvicKg3Etf3SvE3gT9DiLa9C4Ie3jLvoZPCVcSZl1yzKFUfYcg3ocZ0TfZ9QwyAoCEONm7lPU9e5NxmUyIp/10903276_929371630406866_1704915966_n.jpg?width=750)
TAZAMA PICHA ALIZOPOSTI MCHUMBA WA NAY MTANDAONI
11 years ago
Michuzi18 Feb
KIJANA MTANASHATI ATAFUTA MCHUMBA WA KUOA: Ona picha yake na sifa za mchumba huyo anayemtaka apo chini
![](https://4.bp.blogspot.com/-yF_B61RPSXE/UwNobcg0nQI/AAAAAAAABqg/22IqbDfuLN4/s1600/OSCAR.jpg)
Master Oscar John
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo vyangu atakuwa ndio mke wangu wa ndoa. Kifupi mi ni mtaalam wa IT naishi Dar es salaam. Mchumba ninaye mtaka ni vema awe amekulia malezi ya kidini kwa sababu mimi ni mcha Mungu na napenda kusali kwa hiyo napenda na yeye awe hivyo, malezi yangu ni ya dini ya kikristo ni vema na yeye akawa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ddTCHyz3HmxwwcG0QTPZzuzyC5BXsIgwzCHzHzAjn3emBdtmOGTtdnoS6tPDBszpqXODVupkq64WzC6SY21DyQoKUYbyd-BF/Nay.jpg?width=650)
NAY AMFUMANIA MCHUMBA'KE KITANDANI
10 years ago
Bongo529 Oct
Nay wa Mitego na mchumba wake wapata mtoto wa kiume
10 years ago
Bongo508 Sep
Exclusive Pics: Mchumba wa Nay wa Mitego, Siwema ni mjamzito tena!
11 years ago
GPLMCHUMBA: MSINIUMIZE NA PICHA FEKI ZA MAREHEMU RECHO
10 years ago
Bongo Movies06 Jun
Picha ya Wema Sepetu na ‘Mchumba’ wa Linnah Yazua Utata
Picha iliyosambaa mtandaoni ya Staa wa Bongo Movie,Wema Sepetu akiwa na aliyekuwa mchumba wa msanii wa Bongo Fleva,Linnah Sanga aitwaye Naga imezua utata baada ya mashabiki wa mwigizaji huyo kuhisi huenda amejiweka kwa mwanaume huyo baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz.
Taarifa kutoka ‘kitaani’zinasema kuwa wawili hao wameingia kwenye uhusiano wa kimapenzi ili kulipiza kisasi cha miaka kadhaa iliyopita baada ya kusemekana kuwa Linnah aliwahi...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Picha za ngono zatua bungeni
SIKU chache baada ya kusambazwa picha za ngono zikiwahusisha baadhi ya wabunge katika mitandao ya kijamii, serikali imesema inawasaka waliozisambaza kwa kuwa ina uwezo wa kuwabaini. Waziri wa Mawasiliano Sayansi...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Picha za ngono ni hatari kwa afya ya ubongo