Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alberto Msando, Nita “Invest”Kwenye Tasnia ya Filamu!!

Mwansheria Kijana, Alberto Msando ameyasema hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya moja kati ya filamu za kibongo, ikiwaonyesha  watu wawili wakiwa na bastola amabayo haina magazine.

“Seriously sina tatizo na bongo movie. Ni washkaji zangu sana. Ila kwa hii picha wanaonewa. Ni marafiki zangu. Wako poa mno. Na wanajitahidi. Siku zote mimi nitaendelea kuwasapoti. Siwezi kununua DVD ambazo sio original. Na wala sitajali kiingereza cha "I lap u xoxo". Najua wanajitahidi. Na I will even...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wazee ‘wanaokimbiza’ kwenye tasnia ya filamu

MARA nyingi katika vyombo mbalimbali vya habari kumekuwepo na taarifa zinazohusu maisha na vibweka mbalimbali vya waigizaji huku wengi wakiwa wale walio katika umri wa ujana. Taarifa zao zimekuwa zikifuatiliwa...

 

10 years ago

Vijimambo

AKI NA UKWA WA BONGO WAELEZEA MAFANIKIO YAO KWENYE TASNIA YA FILAMU

Kushoto ni Meya Shabani a.k.a Aki akiwa na Mwenzake Nicholaus Ngoda a.k.a Ukwa nje ya ofisi yao Aki na Ukwa wa Bongo wakipiga kazi ...
 Hapa wakionesha upande mwengine wa ofisi yao ya International Film Angels
Wasanii wa komedi maarufu kama Aki na Ukwa wa Bongo Muvi wameelezea mafaniko yao kwenye tasnia ya filamu za vichekesho nchini kwa mara ya kwanza tangu wajiingize kwenye filamu mwaka 2010.
Wakizungumza na Komedi Zone, Meya Shabani ambaye ni 'Aki' na Nicholaus Ngoda 'Ukwa' wamesema kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

WADAU WA FILAMU WAKUTANA NA KUJADILI MAENDELEO YA TASNIA YA FILAMU NCHINI.

Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo (kulia) akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa wa Bodi hiyo, Bw. Benson Mkenda.Kaimu Mwenyekiti Bodi ya Filamu Tanzania, Sylivester Sengerema akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika katika ofisi za bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam.Kaimu Mwenyekiti Bodi ya Filamu Tanzania, Sylivester...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMATI YA MAANDALIZI YA TUZO ZA FILAMU TANZANIA YASAHURIWA KUTANGAZA TASNIA YA FILAMU KIMATAIFA

Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo (Kulia) akifungua kikao kati ya wajumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo pamoja na Kamati ya maandalizi ya Tuzo za TAFA jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel.Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akizungumza na wadau wa filamu waliofika katika Ofisi za Wizara hiyo kuwasilisha taarifa ya maandalizi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za Filamu Tanzania yashauriwa kutangaza Tasnia ya Filamu kimataifa

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akizungumza na wadau wa filamu waliofika katika Ofisi za Wizara hiyo kuwasilisha taarifa ya maandalizi ya Tuzo za TAFA nchini itakayofanyika tarehe 23 Mei mwaka huu. Kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo.Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za TAFA Bibi. Caroline Gachara Gul (kulia) akiwasilisha taarifa ya maandalizi ya Tuzo za TAFA nchini kwa Uongozi wa Wizara ya...

 

11 years ago

Michuzi

Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania lawasilisha maoni ya utafiti wa tasnia ya filamu nchini

 Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Joyce Mwakisyala  (katikati )akipokea maoni ya  Utafiti  kuhusu Tasnia ya Filamu Tanzania kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) Bwana Simon Mwakifwamba wa kwanza kulia, kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo  Rais wa Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) Bwana Simon Mwakifwamba wa pili kutoka kulia akionyesha maoni ya  Utafiti ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani