Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DULLY SYKES ATIMIZA MIAKA KUMI NA TANO TANGU AINGIE KWENYE MUZIKI WA BONGO FLEVA

STAA wa Bongo Fleva,Dully Sykes mwaka huu ametimiza miaka 15 tangu aingie kwenye muziki wa Bongo Fleva na ngoma yake ya Julieta ambayo ilihit kwenye redio station zote za hapa nchin,baadaye zikaja Salome,Nyambizi na nyinginezo mpaka leo msanii huyo ameweza kuendelea kuwepo kwenye game ukizingatia ni msanii wa mwanzo wa muziki huo wa bongo fleva.Ndani ya miaka hiyo kumi na tano Dully ana miliki mijengo, ana watoto watatu, ana album mbili za Historia ya kweli 2002, pamoja na Handsome 2003,...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Shoo ya miaka 15 ya Dully Sykes kwenye Bongo Fleva ni leo pande za Escape One

Leo ndo leo ndani ya Escape One mkongwe kwenye Bongo Fleva,Prince Dully Sykes anafanya tamasha kuadhimisha miaka 15 ndani ya tasnia ya Bongo Fleva,kwa kiingilio cha shs elfu 10,000 wasanii mbalimbali watakuwepo.

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Ataja Tano Bora ya Movie Zake Alizocheza Tangu Aingie Kwenye Tasnia

JB alibandika mabandiko haya kwenye ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM.

“Wiki mbili zilizopita niliwapa nafasi ya kuchagua top 3 ya movie zangu.Leo (Juzi) na mimi naanza kuwapa top 5 yangu tangu nianze kuigiza.NAKWENDA KWA MWANANGU no5.Kesho (Jana) nitawatajia no4.halafu mwisho nitawatajia zilizoongoza kwa mauzo”.

Jana: “Tunaendelea na top 5 zangu tangu nianze kuigiza.Namba 4 DJ BEN.Kesho nitakutajia namba tatu.Atakaye pata nitampa zawadi”.

Haya hebu tuzitaje zingine tupate hiyo...

 

10 years ago

CloudsFM

Stara arudi kwenye muziki wa Bongo Fleva

MWIMBAJI wa injili nchini, Stara Thomas ‘Stara’, ameamua kurudi rasmi katika muziki wa Bongo Fleva ambapo hivi karibuni anatarajia kuachia wimbo wake aliomshirikisha Banana Zoro. Akizungumza na MTANZANIA jana, Stara alisema anaimani wimbo huo uliopewa jina la ‘Nishike mkono’, utamtambulisha upya.
“Nimeamua kurudi nilipotekea, najua mashabiki zangu wengi watakuwa wakikumbukua jinsi gani nilikuwa nafanya vizuri,” alisema Stara.
Alisema wimbo huo utaweza kuonyesha jinsi gani amezaliwa na...

 

11 years ago

CloudsFM

BAADA YA KUWA KWENYE ‘GAME’ KWA MIAKA 15,DULLY SYKES AKUMBUKA ALIVYOMFUNIKA TID MWAKA 2002

Jana kupitia xxl clouds fm msanii wa Bongo Fleva, Prince Dully Sykes alisema kuwa ameitumikia tasnia hiyo kwa miaka 15 mpaka sasa, alifunguka kuwa moja kati ya vitu anavyovikumbuka ndani ya miaka 15 ni siku aliyomfunika msanii mwenzake katika tasnia hiyo TID kwenye shoo waliyoshindanishwa mwaka 2002 ilifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam.Jana hiyo hiyo Mzee Mnyama akajibu mapigo, sasa baada ya hapo Dully naye akataka kuweka mambo sawa.

 

10 years ago

Vijimambo

DULLY SYKES AELEZEA MCHANGO WA BABA YAKE KATIKA MUZIKI WAKE

Jana ndipo ilipokuwa safari ya mwisho ya Marehemu Mzee Sykes baba yake na Msanii Mkongwe Nchini Dully Sykes ambapo Mzee Sykes alipumzishwa katika makazi yake ya Milele huko katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar-es-Salaam.
Kutokana na Msiba huo Tokea Juzi simu ya Dully Imekuwa haipatikani Ila leo @DjHaazu wa @MamboJamboRadio amempata na Kupiga naye Story mbili tatu kuhusiana na Marehemu Mzee Sykes kwa kifupi.Katika Mazungumzo yake Dully ameeleza kuwa Mzee Wake alikuwa anaugua Muda mrefu na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dully Sykes ajivunia miaka 15 ya usanii

BAADA ya kutimiza miaka 15 katika tasnia ya muziki ya Bongo Fleva, msanii Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ anatarajia kufungua studio ya kufanya kazi za ‘live’ na matangazo ikiwa ni hatua...

 

10 years ago

Bongo5

Dully Sykes alia na wasanii waliomtenga kwenye msiba wa baba yake

Wanasema rafiki wa dhati utamjua wakati wa dhiki na tayari Dully Sykes amechuja marafiki wa kweli na feki. Dully ambaye wiki hii alimzika baba yake, Mzee Ebby Sykes amesema hatopenda kuendelea kuwatupia lawama wasanii waliomtenga kwenye msiba huo na kwamba hilo anamuachia Mungu. “Hili suala nilishaambiwa nisizungumze tena kuhusiana na msanii ambaye hajafika, kwahiyo namwachia […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani