Shoo ya miaka 15 ya Dully Sykes kwenye Bongo Fleva ni leo pande za Escape One
Leo ndo leo ndani ya Escape One mkongwe kwenye Bongo Fleva,Prince Dully Sykes anafanya tamasha kuadhimisha miaka 15 ndani ya tasnia ya Bongo Fleva,kwa kiingilio cha shs elfu 10,000 wasanii mbalimbali watakuwepo.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM29 May
DULLY SYKES ATIMIZA MIAKA KUMI NA TANO TANGU AINGIE KWENYE MUZIKI WA BONGO FLEVA
STAA wa Bongo Fleva,Dully Sykes mwaka huu ametimiza miaka 15 tangu aingie kwenye muziki wa Bongo Fleva na ngoma yake ya Julieta ambayo ilihit kwenye redio station zote za hapa nchin,baadaye zikaja Salome,Nyambizi na nyinginezo mpaka leo msanii huyo ameweza kuendelea kuwepo kwenye game ukizingatia ni msanii wa mwanzo wa muziki huo wa bongo fleva.
Ndani ya miaka hiyo kumi na tano Dully ana miliki mijengo, ana watoto watatu, ana album mbili za Historia ya kweli 2002, pamoja na Handsome 2003,...
11 years ago
CloudsFM29 May
BAADA YA KUWA KWENYE ‘GAME’ KWA MIAKA 15,DULLY SYKES AKUMBUKA ALIVYOMFUNIKA TID MWAKA 2002
Jana kupitia xxl clouds fm msanii wa Bongo Fleva, Prince Dully Sykes alisema kuwa ameitumikia tasnia hiyo kwa miaka 15 mpaka sasa, alifunguka kuwa moja kati ya vitu anavyovikumbuka ndani ya miaka 15 ni siku aliyomfunika msanii mwenzake katika tasnia hiyo TID kwenye shoo waliyoshindanishwa mwaka 2002 ilifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam.
Jana hiyo hiyo Mzee Mnyama akajibu mapigo, sasa baada ya hapo Dully naye akataka kuweka mambo sawa.
10 years ago
CloudsFM17 Feb
10 years ago
Michuzi29 Sep
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Wasanii Bongo Fleva na shoo za sebuleni Ulaya
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Dully Sykes ajivunia miaka 15 ya usanii
BAADA ya kutimiza miaka 15 katika tasnia ya muziki ya Bongo Fleva, msanii Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ anatarajia kufungua studio ya kufanya kazi za ‘live’ na matangazo ikiwa ni hatua...
10 years ago
Bongo519 Feb
Dully Sykes alia na wasanii waliomtenga kwenye msiba wa baba yake
10 years ago
Bongo525 Aug
Dully Sykes: Promota anayetaka kunipandisha ndege lazima tuandikishane kwenye bima ya maisha
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68w04I4TPrbk6LpLatHqwLPNlSvHhaDa5OggxvD0wN2tMhqMy0VDiv--O4Ph*lS*5USks9fuMZlSDwe3eyDDcghH/breakingnews.gif)
TANZIA: BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA