BOND, GABO WANASWA WAKISAGA MIRUNGI
![](http://api.ning.com:80/files/*EqvtGjmCN5fxic*XWeDO*WEMidH6iHBvTjmZhcFiJphj75zDJnqRrpnrjXtjjqFwzVUnq1DcOVrlI*8apYOnamU7pDWcWoG/gabo.jpg)
Stori: Gladness Mallya WASANII wa filamu nchini, Bond Bin Sinan na Salim Ahmed ‘Gabo’ hivi karibuni walinaswa wakisaga mirungi hadharani bila kujali kadamnasi. Meza ya wasanii wa filamu Gabo na Bond ikiwa na dozi ya kutosha ya mirungi. Ishu hiyo ilitokea katika Ukumbi wa Dar West, Tabata Dar kulikokuwa na sherehe ya bethdei ya Wastara Juma ambapo wasanii hao walikuwa wamejaza mirungi kwenye mfuko wa nailoni na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-yF_1IfhyzA4/VZTUbeQQEnI/AAAAAAAAw5g/5tNWcHk7Cw8/s72-c/wastaranabond.jpg)
Wastara: Nimeamua Kumpa Bond Nafasi ya Kunioa, Mimi Bado Damu Changa Nikisema Siwezi Kuolewa Tena Najidanganya..Nimempa Bond Sharti Hili...
![](http://4.bp.blogspot.com/-yF_1IfhyzA4/VZTUbeQQEnI/AAAAAAAAw5g/5tNWcHk7Cw8/s640/wastaranabond.jpg)
Wastara na Bond MapenziniBrighton Masalu
WASTARA Juma Issa Abeid amekiri kuzidiwa na hisia za kuwa na mwenza kutokana na ukweli kwamba damu yake bado changa, hivyo suala la kuolewa halikwepeki huku akimpa nafasi kubwa msanii mwenzake, Bond Bin Sinan endapo atakidhi vigezo na masharti.Akifungulia ‘koki’ ya maneno mbele ya paparazi wetu kwa njia ya simu mwanzoni mwa wiki hii, Wastara ambaye kwa sasa yuko bize kusaka ubunge nyumbani kwao Morogoro Vijijini, alisema hawezi kudanganya kwamba...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0p59gSkh23ytrEvz3KHAWIoXn6oENyMOMwrIpPuSMZmrpvo06LLW*F0vu7hRKR81Ep9HuIshuKCQ-BdTXdkRPFY/gabo.jpg)
GABO APATA AJALI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3LveGg5SQZVDrTpoymha53UaC8Gj7*Q1Ys7QY26kpUz3oq1x1SrIroLY8Wfk1elPYD1azzj2873zOVEYQqrjX01V/gabo.jpg)
GABO; TEJA, MMAKONDE AU MCHAGA?
9 years ago
Bongo Movies21 Aug
Gabo:Sijaona Muigizaji wa Kushindana Naye
Msanii wa filamu aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Salim Ahmed maarufu kwa jina la Gabo amesema haoni msanii anayempa changamato.
Akizungumza kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Gabo alisema wengi wamekuwa wakimwambia anaringa kutokana na kuwaambia ukweli.
“Kwa hapa Tanzania sijui ndio maana wanasema mimi naringa,” alisema Gabo alipoulizwa ni msanii gani anayempa changamoto.
“Nyuma alikuwa Single Mtambalike, sasa hivi sijaona wa kumtazama na kunipa changamoto tuweze...
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Tanzania inavyopambana na biashara ya mirungi
10 years ago
Mwananchi10 Nov
Madereva Mwananchi wakamatwa na mirungi
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Hekari 200 za mirungi zagunduliwa Same
11 years ago
Mwananchi28 Dec
Wakamatwa wakisafirisha mirungi kilo 30
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Kortini kwa kusafirisha mirungi