Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GABO; TEJA, MMAKONDE AU MCHAGA?

Makala: Joseph Shaluwa
ANASTAHILI kuitwa staa kulingana na uwezo wake  kisanii. Anapaswa kuambiwa anaweza kwa namna anavyoweza kuvaa uhusika kwenye sinema anazoshiriki lakini ni haki akijulikana kwa jina la msanii kwa sababu hachagui uhusika kwenye filamu. Mkali katika tasnia ya filamu Bongo Salim Ahmed, Gabo Zigamba akiwa mzigoni.. Anaitwa Gabo Zigamba lakini jina alilopewa na wazazi wake ni Salim Ahmed, mume wa Fatmah na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Azam teja kwa Yanga

YANGA jana ilianza vizuri msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara wa mwaka 2015/16 baada ya kuwafunga Azam FC kwa penalti 7-6 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.

 

11 years ago

GPL

MLELA ATUPIWA DONGO KUWA TEJA

NYOTA wa filamu za Kibongo, Yusuph Mlela amedaiwa kugeuka teja (mbwia madawa ya kulevya) hali inayomsababishia ashindwe kujichanganya na wasanii wenzake katika shughuli mbalimbali. Nyota wa filamu za Kibongo, Yusuph Mlela Kikizungumza na Amani juzikati, chanzo  kilisema msanii huyo kwa sasa anavuta unga kiasi cha uteja kujionesha waziwazi na kupoteza mwonekano wake wa zamani. Juzi, paparazi wetu alimtafuta Mlela na...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

GABO APATA AJALI

Stori: Deogratius Mongela
MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Kiwalani jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo makini, Gabo aliyekuwa katika gari binafsi, aligongana na gari lingine na kupata jeraha mguuni hivyo kulazimika kulazwa kwa takriban wiki tatu kisha kuruhisiwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Mwigizaji wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ Akizungumza na...

 

9 years ago

Bongo Movies

Gabo:Sijaona Muigizaji wa Kushindana Naye

Msanii wa filamu aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Salim Ahmed maarufu kwa jina la Gabo amesema haoni msanii anayempa changamato.

Akizungumza kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Gabo alisema wengi wamekuwa wakimwambia anaringa kutokana na kuwaambia ukweli.

“Kwa hapa Tanzania sijui ndio maana wanasema mimi naringa,” alisema Gabo alipoulizwa ni msanii gani anayempa changamoto.

“Nyuma alikuwa Single Mtambalike, sasa hivi sijaona wa kumtazama na kunipa changamoto tuweze...

 

10 years ago

GPL

BOND, GABO WANASWA WAKISAGA MIRUNGI

Stori: Gladness Mallya
WASANII wa filamu nchini, Bond Bin Sinan na Salim Ahmed ‘Gabo’ hivi karibuni walinaswa wakisaga mirungi hadharani bila kujali kadamnasi. Meza ya wasanii wa filamu Gabo na Bond ikiwa na dozi ya kutosha ya mirungi. Ishu hiyo ilitokea katika Ukumbi wa Dar West, Tabata Dar kulikokuwa na sherehe ya bethdei ya Wastara Juma ambapo wasanii hao walikuwa wamejaza mirungi kwenye mfuko wa nailoni na...

 

11 years ago

Bongo Movies

"NDOTO TEJA" Filamu mpya to Gonga Entertainment. Inaongelea kuhusu madawa ya kulevya.

Swahili

"Ndoto Teja" ni mtiririko wa "Short Films" ambao unatengenezwa na Director Frank 'Gonga' Mgoyo ambao umeanza na "NDOTO TEJA - DRUGS" Filamu fupi hii inaonyesha ni jinsi gani vijana wanaharibikiwa kwa matumizi ya madawa ya kulevya ambayo huanzia kwenye unywaji POMBE, Uvutaji BANGI na mpaka kuingia kwenye utumiaji wa MADAWA YA KULEVYA. "NDOTO TEJA" ni neno ambalo lina maanisha kuwa, ukiweza kuingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya na hata ukiamua kuacha na kwenda REHAB, maisha...

 

9 years ago

Bongo5

Mwanangu alifukuzwa shule kwa kumpiga mwenzie aliyemtania baba yake ni teja — Q Chief

Q Chief amedai kuwa aliumia mno pale mtoto wake alipofukuzwa shule baada ya kupigana na mwanafunzi mwenzake aliyemtania kuwa baba yake ni teja! Q-Chief alikuwa akizungumza na BBC Swahili hivi karibuni. Mtoto wa Q Chief “Siku moja mwanangu alikuja analia sana, akaniambia baba mwanafunzi mmoja amesema baba yake si teja tu. Nikamwambia kwahiyo ukafanyaje akaniambia […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani