Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gabo:Sijaona Muigizaji wa Kushindana Naye

Msanii wa filamu aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Salim Ahmed maarufu kwa jina la Gabo amesema haoni msanii anayempa changamato.

Akizungumza kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Gabo alisema wengi wamekuwa wakimwambia anaringa kutokana na kuwaambia ukweli.

“Kwa hapa Tanzania sijui ndio maana wanasema mimi naringa,” alisema Gabo alipoulizwa ni msanii gani anayempa changamoto.

“Nyuma alikuwa Single Mtambalike, sasa hivi sijaona wa kumtazama na kunipa changamoto tuweze...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAYA: SIJAONA WA KUZAA NAYE

Stori: imelda Mtema Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona mwanaume ambaye anaweza kuwa naye na kumzalia mtoto kwani wote anawaona ni waluwalu. Staa wa Bongo Buvi Mayasa Mrisho, alimaarufu 'Maya'. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Maya alisema kuwa hakuna kitu anachokitamani kama kupata mtoto lakini kila akifikiria mtu anayeweza kupata...

 

11 years ago

GPL

GABO APATA AJALI

Stori: Deogratius Mongela
MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Kiwalani jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo makini, Gabo aliyekuwa katika gari binafsi, aligongana na gari lingine na kupata jeraha mguuni hivyo kulazimika kulazwa kwa takriban wiki tatu kisha kuruhisiwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Mwigizaji wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ Akizungumza na...

 

11 years ago

GPL

GABO; TEJA, MMAKONDE AU MCHAGA?

Makala: Joseph Shaluwa
ANASTAHILI kuitwa staa kulingana na uwezo wake  kisanii. Anapaswa kuambiwa anaweza kwa namna anavyoweza kuvaa uhusika kwenye sinema anazoshiriki lakini ni haki akijulikana kwa jina la msanii kwa sababu hachagui uhusika kwenye filamu. Mkali katika tasnia ya filamu Bongo Salim Ahmed, Gabo Zigamba akiwa mzigoni.. Anaitwa Gabo Zigamba lakini jina alilopewa na wazazi wake ni Salim Ahmed, mume wa Fatmah na...

 

10 years ago

GPL

BOND, GABO WANASWA WAKISAGA MIRUNGI

Stori: Gladness Mallya
WASANII wa filamu nchini, Bond Bin Sinan na Salim Ahmed ‘Gabo’ hivi karibuni walinaswa wakisaga mirungi hadharani bila kujali kadamnasi. Meza ya wasanii wa filamu Gabo na Bond ikiwa na dozi ya kutosha ya mirungi. Ishu hiyo ilitokea katika Ukumbi wa Dar West, Tabata Dar kulikokuwa na sherehe ya bethdei ya Wastara Juma ambapo wasanii hao walikuwa wamejaza mirungi kwenye mfuko wa nailoni na...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunakwenda Congo kushindana au kushiriki?

KUNA wakati nawaza mambo kwa kina lakini majibu sipati.

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

GPL

TANZANIA INAENDA KUSHIRIKI, SI KUSHINDANA

Mshindi wa Shindano la Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa, Jumamosi ya wiki iliyopita, alikwea pipa kuelekea jijini London, Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World, yanayotarajiwa kutimua vumbi Desemba 14, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Excel London. Mshindi wa Shindano la Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa. MAANDALIZI HAFIFU…
...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bolt kushindana na Gutlin wa Marekani

Usain Bolt hana tatizo la kushindana dhidi ya Justin Gatlin kwa kuwa anahisi kwamba marufuku ya miaka minne aliyopewa ilikuwa ya haki.

 

9 years ago

Mtanzania

Frida wa BSS: Mazingira yanakwamisha wasichana kushindana

FRIDA AMANI BSSMSHINDI wa tatu katika shindano la Bongo Star Search (BSS) 2015, Frida Aman, amesema mazingira magumu na tamaduni kandamizi ndizo zinazochangia kumkandamiza msichana hasiweze kushindana na wanaume katika kila jambo ikiwemo muziki.

Alisema anaamini mazingira wanayopitia wasichana yangekuwa yanapitiwa na wavulana hali za ushindani zingekuwa sawa, lakini wasichana wengi wanaonekana kushindwa kwenda na kasi ya wavulana kwa kuwa tu mazingira yao yanatofautiana sana.

“Mimi naweza kutaka kujifunza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani