Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Frida wa BSS: Mazingira yanakwamisha wasichana kushindana

FRIDA AMANI BSSMSHINDI wa tatu katika shindano la Bongo Star Search (BSS) 2015, Frida Aman, amesema mazingira magumu na tamaduni kandamizi ndizo zinazochangia kumkandamiza msichana hasiweze kushindana na wanaume katika kila jambo ikiwemo muziki.

Alisema anaamini mazingira wanayopitia wasichana yangekuwa yanapitiwa na wavulana hali za ushindani zingekuwa sawa, lakini wasichana wengi wanaonekana kushindwa kwenda na kasi ya wavulana kwa kuwa tu mazingira yao yanatofautiana sana.

“Mimi naweza kutaka kujifunza...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uchaguzi 2015; wanawake watengenezewe mazingira rafiki ya kushindana

Wakati uchaguzi wa vyama vingi uliporejeshwa mwaka 1995, ni wanawake wachache sana walionyesha nia ya kuwania nafasi za uongozi, iwe za udiwani, ubunge na hata urais.

 

11 years ago

Michuzi

MELLINIUM WOMEN GROUP YASAIDIA WASICHANA WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

Kikundi cha wake wa Viongozi (Mellinium Women Group) yatoa msaada wa Chakula, Mavazi na Vifaa vya usafi vyenye thamani ya sh. Milioni 6.8/- kwa “New Hope for Girls Organization’’ kinacholea wasichana wanaoishi katika mazingira magumu.
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda alieleza kuwa, wake wa viongozi waliguswa baada ya kukutana na Bibi. Consoler Eliya mwaka jana katika mkutano wa wanawake wajiwezeshe kiuchumi ambaye ni miongoni mwa wasichana walioishi katika mazingira magumu na kuahidi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wasichana 22 waliokuwa katika mazingira magumu wahitimu Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

kkNaibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb)akimpongeza Bi. Jane Malyi kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na urembo mara baada ya kutoa neno fupi kwa niaba ya wahitimu wa mafunzo hayo katika chuo Kikuu Huria cha Tanzania, jijini Dar es salaam 

Na erasto Ching’oro

 Wasichana 22 kutoka mazingira hatarishi wamehitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, ususi wa nywele na urembo katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

Wasichana walio katika mazingira magumu wahitimu Chuo Kukuu Huria cha Tanzania

Na erasto Ching’oro Wasichana 22 kutoka mazingira hatarishi wamehitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, ususi wa nywele na urembo katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es salaam na kutunukiwa vyeti vya umahiri na Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana ambaye alikuwa mgeni rasimi kwenye mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo (OUT) tarehe 20 Agosti, 2015. Mapema mwezi Januri, 2015 Chuo Kikuu Huria kwa ushirikiano na asasi ya ‘Nafasi...

 

10 years ago

Vijimambo

FRIDA MTEI NA LAVORN CRYOR WAMEREMETA

Frida Mtei na Lavorn Cryor wakipata picha ya pamoja kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika siku ya Jumampili Sept 21, 2014 katika ukumbi wa La Fontaine Blue uliopo Lanham, Maryland nichini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka sehemu mbalimbali akiwemo mama mzazi na ndugu zake Bi. harusi kutoka Tanzania.Bwn. na Bi harusi wakiingia ukumbini kusherehekea harusi yao iliyofanyika siku ya Jumampili Sept. 21, 2014 katika ukumbi wa La Fontaine Blue uliopo Lanham, Maryland...

 

10 years ago

Vijimambo

Frida and Lavorn Wedding - Official photos.

Frida na Lavorn wakipata ukodak moment baada ya kufunga pingu za maisha siku ya Jumapili tarehe 21 September katika mji wa Takoma Park uliopo state ya Maryland USAFrida na Lavorn katika poziFrida na Lavorn pamoja na wapambe wao katika picha ya pamoja
Kwa picha zaidi mtembelee IskaJoJo (www.iskajojostudios.com) Hapa

 

11 years ago

IPPmedia

Dr Frida Mokiti, Chief Regional physician


IPPmedia
Dr Frida Mokiti, Chief Regional physician
IPPmedia
At least 17 people were severely injured when a device believed to be a bomb exploded at Night Park bar, where they were watching a football match on television on Sunday night. Dr Frida Mokiti the Chief Regional physician said eleven people out of the 17 ...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunakwenda Congo kushindana au kushiriki?

KUNA wakati nawaza mambo kwa kina lakini majibu sipati.

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

GPL

TANZANIA INAENDA KUSHIRIKI, SI KUSHINDANA

Mshindi wa Shindano la Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa, Jumamosi ya wiki iliyopita, alikwea pipa kuelekea jijini London, Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World, yanayotarajiwa kutimua vumbi Desemba 14, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Excel London. Mshindi wa Shindano la Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa. MAANDALIZI HAFIFU…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani