FRIDA MTEI NA LAVORN CRYOR WAMEREMETA
Frida Mtei na Lavorn Cryor wakipata picha ya pamoja kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika siku ya Jumampili Sept 21, 2014 katika ukumbi wa La Fontaine Blue uliopo Lanham, Maryland nichini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka sehemu mbalimbali akiwemo mama mzazi na ndugu zake Bi. harusi kutoka Tanzania.
Bwn. na Bi harusi wakiingia ukumbini kusherehekea harusi yao iliyofanyika siku ya Jumampili Sept. 21, 2014 katika ukumbi wa La Fontaine Blue uliopo Lanham, Maryland...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-XgXzU1dAEzw/VDlaHAhtVrI/AAAAAAADJY8/lpQ9LCQkSmY/s72-c/PRB_5529-XL.jpg)
Frida and Lavorn Wedding - Official photos.
![](http://1.bp.blogspot.com/-XgXzU1dAEzw/VDlaHAhtVrI/AAAAAAADJY8/lpQ9LCQkSmY/s1600/PRB_5529-XL.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-1CCPzbpf1Kw/VDlaIVN2Q7I/AAAAAAADJZU/RL-lMMiupzw/s1600/fl2%2BCollage-XL.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Lz7KvB-cvcc/VDlaFymbxHI/AAAAAAADJYg/K2vA08knHeU/s1600/PRB_5439-XL.jpg)
Kwa picha zaidi mtembelee IskaJoJo (www.iskajojostudios.com) Hapa
11 years ago
IPPmedia15 Apr
Dr Frida Mokiti, Chief Regional physician
IPPmedia
IPPmedia
At least 17 people were severely injured when a device believed to be a bomb exploded at Night Park bar, where they were watching a football match on television on Sunday night. Dr Frida Mokiti the Chief Regional physician said eleven people out of the 17 ...
9 years ago
Mtanzania23 Nov
Frida wa BSS: Mazingira yanakwamisha wasichana kushindana
MSHINDI wa tatu katika shindano la Bongo Star Search (BSS) 2015, Frida Aman, amesema mazingira magumu na tamaduni kandamizi ndizo zinazochangia kumkandamiza msichana hasiweze kushindana na wanaume katika kila jambo ikiwemo muziki.
Alisema anaamini mazingira wanayopitia wasichana yangekuwa yanapitiwa na wavulana hali za ushindani zingekuwa sawa, lakini wasichana wengi wanaonekana kushindwa kwenda na kasi ya wavulana kwa kuwa tu mazingira yao yanatofautiana sana.
“Mimi naweza kutaka kujifunza...
10 years ago
Vijimambo30 Sep
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ufe4VEJMSt4/Uz07yNqgJjI/AAAAAAAFYH0/lHK1sguq0VI/s72-c/f4.jpg)
Ankal uso kwa uso na frida fashion jijini London
![](http://4.bp.blogspot.com/-ufe4VEJMSt4/Uz07yNqgJjI/AAAAAAAFYH0/lHK1sguq0VI/s1600/f4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-cRxz4TuG4S0/Uz071RWRt5I/AAAAAAAFYIE/s28Mw4ED5cQ/s1600/f1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-tRBKxIuL_bY/Uz072vfAt2I/AAAAAAAFYIM/FOXjkGD5Hrs/s1600/f3.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Kutana na Edwin Mtei
Edwin Mtei ni mwasisi na Mwenyekiti wa kwanza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Katika mfululizo wa simulizi hii, anasimulia maisha yake ya kuchunga mbuzi hadi kuwa gavana wa...
11 years ago
MichuziALVIN NA SUSAN WAMEREMETA
Alvin akivisha pete Susan kwenye harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 2, 2014 kwenye ukumbi wa Noah's uliopo Fairview ma kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila kona ya Dunia.
10 years ago
VijimamboEMMANUEL NA HAPPY WAMEREMETA