Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ankal uso kwa uso na frida fashion jijini London

 Ankal akiwa na muasisi na mwanzilishi wa Fashion show nchini Tanzania Da' Farida Matata a.k.a Farida Fashion ambaye alianzisha mambo ya fashion show miaka ya 1986 na kuwatoa warembo wengi kitaifa na kimataifa. Hivi sasa anaendesha biashara kibao jijini London ikiwa ni pamoja na mkahawa wa vyakula vya Kiswahili sehemu ya Tottenham Hale wenye jina la hapo juu. Ankal  ametembelea hapo na kupata msosi wa nguvu wa wali wa nazi kwa samaki hapo chini
 Before....  After.....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ankal uso kwa uso na wazee wa kazi jijini london leo

 Wazee wa kazi wa Serengeti Freight Forwarders  ya jijini London Kaka Muhsin (kushoto) na Kaka Chris  wakiwa wametulia tuli kabla ya kumpa ofa ya bonge la lunch ya usiku huu Ankal katika hoteli ya Hyatt Regency Churchill, London. Ankal akila selfie na Wazee wa Kazi Kaka Muhsin (kushoto) na Chris ambao pia walitumia nafasi hiyo kusherehekea kuhamisha ofisi yao ya Serengeti Freight Forwarders. Wao wanakuwa wamatumbi wa kwanza kuwa na ofisi sehemu za  Tilbury Port. Soma maelezo hapo...

 

11 years ago

Michuzi

CAPTAIN GARDINER G. HABASH USO KWA USO NA ANKAL NDANI NAJUA WAJUA

Kujua mengi kuhusu mji wa Condom huko Ufaransa BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

Ankal uso kwa uso na King Maluu


Ankal akiwa na mpiga saxophone maarufu nchini Tanzania Akuliake Salehe a.k.a. "King Maluu"   alipogongana nae akitumbuiza kwenye hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es salaam jioni ya leo. King Maluu, ambaye alitamba sana enzi za Maquis du Zaire, Orchestra Safari Sound na Wazee Sugu, hivi sasa ni lulu katika tasnia ya Bongo Flava ambapo amekuwa akiwapiga taffu vijana wa kizazi kipya na saxophone yake. Mfano ngoma ya "Number one" ya Diamond na pia ya Ommy Dimples ya "Tupogo". Kaa chonjo...

 

10 years ago

Vijimambo

USO KWA USO NA ALIYEKUWA MMILIKI WA KIOTA CHA MARAHA MILLENIUM JIJINI LOS ANGELES, CA

Chief Bongam akiwa kwenye ukodak na aliyekuwa Partner wake enzi za Millenium Lounge & Restaurant Bwana Peter LigateChief Bongam akiwa kwenye ukodak na Bwana na Bibi Ligate alipozuru Los Angeles Kibiashara ndani ya Kiota cha Maraha ya Jazz kiitwacho LA LouisanneChief Bongam Enzi za Millenium Nyuma ya Counter na MtejaMillenium Lounge & Restaurant Ilijulikana sana kwa Chakula Kizuri cha Kitanzania Chini ya Usimamizi wa Chef Shabani na Abdul aka Dogo Bila ya kusahau Usimamizi wa Karibu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

COASTER YAGONGANA USO KWA USO NA LORI JIJINI DAR, WATU ZAIDI YA 40 WANUSURIKA KUFA



Zaidi ya watu 40 wamenusurika kifo huku mmoja akikatika viungo vya miguu na wengine kujeruhika vibaya baada ya lori moja lilionekana kuwa ni la jeshi kugongana uso kwa uso na gari la abiria aina ya COSTA la Ubungo -Tegeta eneo la Tegeta jijini Dar es salaam.Tukio hilo limevuta hisia za mamia ya wakazi wa Tegeta huku baadhi ya mafundi gereji wa Tegeta wakijaribu kutumia vifaa maalumu kukata mabati ya magari kwa nia ya kunasua baadhi ya majeruhi walionasa ndani ya COASTA hiyo kusuru abiria...

 

11 years ago

Michuzi

Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club

Mlimani Park Orchestra “Sikinde”Msondo Ngoma BandMagwiji wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma Band na Mlimani Park Orchestra “Sikinde” siku ya Iddi Mosi watachuana vikali katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke. Mpambano huo wa Nani Mtani Jembe ni kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Id El Fitr na pia litaamua ni bendi ipi kali kati yao. Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga amesema pambano hilo litaanza saa nane alasiri hadi majogoo. Kapinga alisema bendi zote mbili ziko msituni...

 

10 years ago

Michuzi

Muwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rage

Bandora Salum Mirambo akiwasilia katika ofisi za CCM wilaya ya Tabora kuchukua fomu za ubunge wa Tabora mjiniWagombea ubunge wa jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mh Aden Rage na Bandora Mirambo leo hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
Wawania kuteuliwa na CCM...

 

10 years ago

Vijimambo

Muwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh

Bandora Salum Mirambo akiwasilia katika ofisi za CCM wilaya ya Tabora kuchukua fomu za ubunge wa Tabora mjiniWagombea ubunge wa jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mh Aden Rageh na Bandora Mirambo leo
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.


Wawania kuteuliwa na CCM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani