Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ankal uso kwa uso na King Maluu


Ankal akiwa na mpiga saxophone maarufu nchini Tanzania Akuliake Salehe a.k.a. "King Maluu"   alipogongana nae akitumbuiza kwenye hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es salaam jioni ya leo. King Maluu, ambaye alitamba sana enzi za Maquis du Zaire, Orchestra Safari Sound na Wazee Sugu, hivi sasa ni lulu katika tasnia ya Bongo Flava ambapo amekuwa akiwapiga taffu vijana wa kizazi kipya na saxophone yake. Mfano ngoma ya "Number one" ya Diamond na pia ya Ommy Dimples ya "Tupogo". Kaa chonjo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ankal uso kwa uso na wazee wa kazi jijini london leo

 Wazee wa kazi wa Serengeti Freight Forwarders  ya jijini London Kaka Muhsin (kushoto) na Kaka Chris  wakiwa wametulia tuli kabla ya kumpa ofa ya bonge la lunch ya usiku huu Ankal katika hoteli ya Hyatt Regency Churchill, London. Ankal akila selfie na Wazee wa Kazi Kaka Muhsin (kushoto) na Chris ambao pia walitumia nafasi hiyo kusherehekea kuhamisha ofisi yao ya Serengeti Freight Forwarders. Wao wanakuwa wamatumbi wa kwanza kuwa na ofisi sehemu za  Tilbury Port. Soma maelezo hapo...

 

11 years ago

Michuzi

Ankal uso kwa uso na frida fashion jijini London

 Ankal akiwa na muasisi na mwanzilishi wa Fashion show nchini Tanzania Da' Farida Matata a.k.a Farida Fashion ambaye alianzisha mambo ya fashion show miaka ya 1986 na kuwatoa warembo wengi kitaifa na kimataifa. Hivi sasa anaendesha biashara kibao jijini London ikiwa ni pamoja na mkahawa wa vyakula vya Kiswahili sehemu ya Tottenham Hale wenye jina la hapo juu. Ankal  ametembelea hapo na kupata msosi wa nguvu wa wali wa nazi kwa samaki hapo chini
 Before....  After.....

 

11 years ago

Michuzi

CAPTAIN GARDINER G. HABASH USO KWA USO NA ANKAL NDANI NAJUA WAJUA

Kujua mengi kuhusu mji wa Condom huko Ufaransa BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Muwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rage

Bandora Salum Mirambo akiwasilia katika ofisi za CCM wilaya ya Tabora kuchukua fomu za ubunge wa Tabora mjiniWagombea ubunge wa jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mh Aden Rage na Bandora Mirambo leo hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
Wawania kuteuliwa na CCM...

 

10 years ago

Vijimambo

Muwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh

Bandora Salum Mirambo akiwasilia katika ofisi za CCM wilaya ya Tabora kuchukua fomu za ubunge wa Tabora mjiniWagombea ubunge wa jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mh Aden Rageh na Bandora Mirambo leo
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.


Wawania kuteuliwa na CCM...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA‏

 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ambaye pia ni mmiliki wa magazeti ya Jambo Leo na Staa Spoti, Juma Pinto wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Ikulu, Dar es Salaam juzi. (PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)…

 

11 years ago

Michuzi

Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club

Mlimani Park Orchestra “Sikinde”Msondo Ngoma BandMagwiji wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma Band na Mlimani Park Orchestra “Sikinde” siku ya Iddi Mosi watachuana vikali katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke. Mpambano huo wa Nani Mtani Jembe ni kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Id El Fitr na pia litaamua ni bendi ipi kali kati yao. Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga amesema pambano hilo litaanza saa nane alasiri hadi majogoo. Kapinga alisema bendi zote mbili ziko msituni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani