TANZANIA INAENDA KUSHIRIKI, SI KUSHINDANA
![](http://api.ning.com:80/files/PhpRQMoFW8bPitOU*KnfK1BhX61*CtTHbKjDs*WBUQo9GoBxtyuJg9r0sd9IqB6Ow8zE84sxMOSoQa0pEk4y2xYs1G9tPtYR/miss.jpg)
Mshindi wa Shindano la Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa, Jumamosi ya wiki iliyopita, alikwea pipa kuelekea jijini London, Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World, yanayotarajiwa kutimua vumbi Desemba 14, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Excel London. Mshindi wa Shindano la Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa. MAANDALIZI HAFIFU… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema02 Sep
Tunakwenda Congo kushindana au kushiriki?
KUNA wakati nawaza mambo kwa kina lakini majibu sipati.
Mwandishi Wetu
10 years ago
BBCSwahili02 May
Bolt kushindana na Gutlin wa Marekani
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Tanzania kushiriki mbio za Kigali
9 years ago
Bongo Movies21 Aug
Gabo:Sijaona Muigizaji wa Kushindana Naye
Msanii wa filamu aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Salim Ahmed maarufu kwa jina la Gabo amesema haoni msanii anayempa changamato.
Akizungumza kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Gabo alisema wengi wamekuwa wakimwambia anaringa kutokana na kuwaambia ukweli.
“Kwa hapa Tanzania sijui ndio maana wanasema mimi naringa,” alisema Gabo alipoulizwa ni msanii gani anayempa changamoto.
“Nyuma alikuwa Single Mtambalike, sasa hivi sijaona wa kumtazama na kunipa changamoto tuweze...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s72-c/missTanzania.png)
MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png)
MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Tanzania,Kenya kushiriki ya gofu Namibia
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Tanzania kushiriki gofu Brazil 2016
10 years ago
MichuziTANZANIA KUSHIRIKI MAONYESHO NCHINI ITALIA
Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE (katikati) akizungumza katika mkutano wa maandalizi ya maonyesho ya 39 ya kimataifa ulifanyika katika viwanja vya SabaSaba jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Biashara za Nje,Anna Bulondo, akizungumza katika mkutano wa maandalizi ya maonyesho ya 39 ya kimataifa ...
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Wajasiriamali Tanzania kushiriki maonesho ya Juakali