Tanzania,Kenya kushiriki ya gofu Namibia
Michuano ya gofu ya Afrika itakafanyika Windhoek, Namibia Tanzania na Kenya zinatarajiwa kushiriki.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Tanzania kushiriki gofu Brazil 2016
Chama cha gofu Tanzania (TGU) kimesema kuwa kitashiriki michuano ya Olimpiki itakayofanyika huko Rio de Janeiro, Brazil mwakani.
10 years ago
BBCSwahili02 Apr
Kenya,Namibia zafuzu,Tanzania chini
Michuano ya Afrika ya kriketi ya Daraja la 1( T20) imemalizika nchini Afrika ya Kusini Namibia na Kenya zikifuzu kucheza .
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-p7IW5tuthFk/VS0r_buka9I/AAAAAAAHRIY/jGBdqe8X9zU/s72-c/unnamed.jpg)
TANZANIA KUSHIRIKI MKUTANO WA TATU WA MAENDELEO ENDELEVU YA MIJI NA MAKAZI DUNIANI NCHINI KENYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-p7IW5tuthFk/VS0r_buka9I/AAAAAAAHRIY/jGBdqe8X9zU/s1600/unnamed.jpg)
11 years ago
BBCSwahili29 Jun
Raga;Kenya yaishinda Namibia 29-22
Kenya imeshinda Namibia 29-22 katika mchuano wa kufuzu kwa kombe la dunia
10 years ago
BBCSwahili07 May
Tanzania yaelemewa gofu ya vijana Afrika
Tanzania imeshindwa kushiriki michuano ya gofu ya Afrika ya vijana nchini Lusaka, Zambia kutokana na wachezaji wake kuwa shuleni.
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Tanzania yajipanga kwenda Olimpiki:Gofu
Chama cha gofu nchini Tanzania kimetoa kalenda ya mwaka ya 2015 ya michezo
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
Kenya kushiriki kombe la walemavu
Kenya na Ghana ni mataifa ya yatakayoshiriki kwenye mashindano ya kombe la dunia ya kandanda ya walemavu nchini Mexico mwezi ujao.
10 years ago
BBCSwahili03 Aug
Kenya yakanusha kushiriki udanganyifu
Shirikisho la riadha la Kenya limekanusha kushiriki udanganyifu na njama ya kuficha matumizi ya madawa haramu ya kuongeza nguvu mwilini
11 years ago
BBCSwahili29 Apr
Nyota wa Kenya kushiriki mbio Bahamas
Janeth Jepkosgei atawakilisha Kenya nchini Bahamas mwezi ujao. Na John Nene
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania