Kenya,Namibia zafuzu,Tanzania chini
Michuano ya Afrika ya kriketi ya Daraja la 1( T20) imemalizika nchini Afrika ya Kusini Namibia na Kenya zikifuzu kucheza .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Tanzania,Kenya kushiriki ya gofu Namibia
Michuano ya gofu ya Afrika itakafanyika Windhoek, Namibia Tanzania na Kenya zinatarajiwa kushiriki.
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
Burundi,Kenya zafuzu wavu kanda ya Tano
Timu za taifa za Burundi na Kenya zimefuzu kucheza hatua ya makundi kutoka kanda ya tano ya mpira wa wavu Afrika
11 years ago
BBCSwahili29 Jun
Raga;Kenya yaishinda Namibia 29-22
Kenya imeshinda Namibia 29-22 katika mchuano wa kufuzu kwa kombe la dunia
10 years ago
Daily News21 Mar
Mkapa hails Tanzania, Namibia relations
Daily News
FORMER President Benjamin Mkapa on Wednesday planted two trees at the chancery of High Commissioner for Namibia, an act the commissioner termed as a milestone that symbolised the deep roots bearing testimony to the relationship between Tanzania ...
10 years ago
BBCSwahili24 Jun
Taifa Queen ya Tanzania kuelekea Namibia
Timu ya taifa ya mpira wa pete ya Tanzania imekabidhiwa tiketi kwa safari ya kuelekea Windhoek, Namibia kwa michuano ya Afrika.
10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Kriketi Vijana:Tanzania,Namibia kuchuana
Tanzania itacheza na Namibia katika mechi ya ufunguzi ya Ligi ya Kriketi ya Afrika kwa vijana wa kiume umri chini ya miaka 19
10 years ago
TheCitizen08 Sep
Tanzania stun Namibia at Sixes tourney
Tanzanian cricketers stunned Namibia by five runs to register their first win at the Global Softech Sixes Tournament at the SuperSport Park, Centurion, in South Africa yesterday.
10 years ago
BBCSwahili13 Feb
Kriketi Tanzania yataja kikosi kuivaa Namibia
Chama cha Kriketi Tanzania kimetaja wachezaji 14 watakachocheza na Namibia kufuzu kombe la Dunia kwa wavulana waliochini ya miaka 19.
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Tanzania,Namibia,Uganda zashinda michuano ya kriketi
Baada ya kuanza vibaya kwa kufungwa na Namibia kwa mikimbio102, wenyeji Tanzania wamefanikiwa kuwafunga Botswana kwa (runs) 47
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania