Tanzania yajipanga kwenda Olimpiki:Gofu
Chama cha gofu nchini Tanzania kimetoa kalenda ya mwaka ya 2015 ya michezo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Jan
Tanzania yajipanga Olimpiki ya Tokyo 2020
Chama cha riadha nchini Tanzania kinakusudia kufanya mkakati wa maandalizi wa miaka 6 kwa michezo ya Olimpiki yaTokyo, Japan mwaka 2020.
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Tanzania kushiriki gofu Brazil 2016
Chama cha gofu Tanzania (TGU) kimesema kuwa kitashiriki michuano ya Olimpiki itakayofanyika huko Rio de Janeiro, Brazil mwakani.
10 years ago
BBCSwahili07 May
Tanzania yaelemewa gofu ya vijana Afrika
Tanzania imeshindwa kushiriki michuano ya gofu ya Afrika ya vijana nchini Lusaka, Zambia kutokana na wachezaji wake kuwa shuleni.
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Tanzania,Kenya kushiriki ya gofu Namibia
Michuano ya gofu ya Afrika itakafanyika Windhoek, Namibia Tanzania na Kenya zinatarajiwa kushiriki.
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Uzembe waitoa Tanzania michezo ya Olimpiki 2016
>Tanzania haitashiriki michezo ya soka kimataifa hadi mwaka 2016 kutokana na timu yake ya vijana wa umri chini ya miaka 23 kutoshiriki michuano ya kusaka tiketi ya kushiriki Olimpiki msimu wa 2015/2016.
11 years ago
MichuziVILABU SABA VYA GOFU KUKUTANA TANZANIA OPEN K-VANT GIN GOLF CO-OPERATE TOURNAMENT 2014
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
VijimamboTANZANIA YAJIPANGA KUWA NCHI YA VIWANDA
Na Saidi Mkabakuli
Serikali imesema imedhamiria kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda ifikapo mwaka wa fedha 206/2017 ili kuongeza kasi ya kufikia lengo la Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 ambayo imedhamiria kuifikisha Tanzania kuwa nchi yenye hadhi ya kipato cha kati na kuondokana na umaskini kufikia mwaka 2025.
Akizungumza wakati wa kuwakaribisha Ugeni kutoka Tume ya Mipango na Maendeleo ya China, Naibu Katibu Mtendaji anayeshughulikia Biashara za Kimataifa na Mahusiano ya Kiuchumi, Bw. Paul...

GPLMAFUNZO YA MWEZI MMOJA YA OLIMPIKI MAALUMU TANZANIA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA AKILI YA FUNGWA RASMI
Walimu waliokuwa wakiendesha mafunzo kwa watoto hao wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Beatha Qambayot, Zilpa Masunga, Mtendaji Mkuu wa Olimpiki Maalumu Tanzania, Frank Macha na Alphonsia Mwairafu. Walimu hao wakiwa wameshika mipira ya kufundishia. (Imeandaliwa na mtandao wa habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)…
10 years ago
MichuziMAFUNZO YA MWEZI MMOJA YA OLIMPIKI MAALUMU TANZANIA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA AKILI YA FUNGWA RASMI LEO
BOFYA HAPA KWA PICHA...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania