Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YAJIPANGA KUWA NCHI YA VIWANDA

Na Saidi Mkabakuli
Serikali imesema imedhamiria kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda ifikapo mwaka wa fedha 206/2017 ili kuongeza kasi ya kufikia lengo la Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 ambayo imedhamiria kuifikisha Tanzania kuwa nchi yenye hadhi ya kipato cha kati na kuondokana na umaskini kufikia mwaka 2025.

Akizungumza wakati wa kuwakaribisha Ugeni kutoka Tume ya Mipango na Maendeleo ya China, Naibu Katibu Mtendaji anayeshughulikia Biashara za Kimataifa na Mahusiano ya Kiuchumi, Bw. Paul...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa wafanyabiashara kutoka Tanzania na nchi za Ghuba (GCC)

 Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh akieleza umuhimu wa mkutano wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba (GCC) utakafanyika kwa siku mbili kuanzia Januari 15 hadi 16, 2015 jijini Dar Es Salaam. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara kutoka Oman na nchi za Ghuba (GCC)   Saeed Saleh Saeed Al Kiyumi (katikati) akizungumza na baadhi ya wajumbe wa mkutano wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania  na nchi za Ghuba...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA DHARURA WA VIONGOZI WA NCHI NA SERIKALI WANACHAMA WA SADC KUHUSU UENDELEZAJI VIWANDA, HARARE ZIMBABWE.

AD1 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Hoteli ya Rainbow, jijini Harare, Zimbabwe kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa dharura wa Viongozi wa Nchi Wanachama wa SDC, uliofunguliwa leo Aprili 29, 2015 na Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, Jijini unaojadili kuhusu Uendelezaji wa Viwanda. Picha na OMR AD2AD3Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake katika Mkutano wa...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA NISHATI KWA NCHI ZA AFRIKA

 Waziri wa Nishati  na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiongea wakati wa mkutano wa Mawaziri wanaohusika na  masuala ya   Nishati ambapo aliwatangazia wajumbe hao kwamba Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa  Bara la Afrika  kuhusu  Nishati Endelevu katika muda utaopangwa na Umoja wa Mataifa.  Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa siku tatu wa Nishati Endelevu kwa Wote ( SE4ALL)  ulioandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.  Eng. Yahya  Samamba Katibu wa Waziri na  Eng. Styden...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa wawekezaji wa nchi 5 za Afrika Mashariki

RC -1

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akitoa taarifa ya mkutano wa wawekezaji (Round Table Investment Forum) na wakuu wa nchi 5 za ukanda wa Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia  Machi 25 hadi 26 mwaka huu.

Na Aron Msigwa –MAELEZO

Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa wawekezaji (Round Table Investment Forum) na Marais wa nchi 5 za ukanda wa Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia  Machi 25 hadi 26 mwaka huu. 

Akitoa taarifa ya mkutano huo Mkuu...

 

11 years ago

Michuzi

Wanamichezo wa Tanzania warejea huku wakiijengea nchi heshima ya kuwa na nidhamu

Mwakilishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko (kushoto) akisalimiana na baadhi ya Wanamichezo waliokuwa kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola mjini Glasgow Scotland mara walipowasilia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Juliana Yassoda akiwaelekeza jambo baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA WAWEKEZAJI NA MARAIS WA NCHI 5 ZA AFRIKA MASHARIKI.

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akitoa taarifa ya mkutano wa wawekezaji (Round Table Investment Forum) na wakuu wa nchi 5 za ukanda wa Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia  Machi 25 hadi 26 mwaka huu.Kamishina wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova akitoa taarifa ya hali ya ulinzi na usalama katika jiji la Dar es salaam na vifo vya watu  7 waliopoteza maisha  kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa  zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani