MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA DHARURA WA VIONGOZI WA NCHI NA SERIKALI WANACHAMA WA SADC KUHUSU UENDELEZAJI VIWANDA, HARARE ZIMBABWE.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Hoteli ya Rainbow, jijini Harare, Zimbabwe kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa dharura wa Viongozi wa Nchi Wanachama wa SDC, uliofunguliwa leo Aprili 29, 2015 na Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, Jijini unaojadili kuhusu Uendelezaji wa Viwanda. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake katika Mkutano wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog30 Apr
Makamu wa Rais Dkt. bilal aiwakilisha Tanzania katika mkutano wa dharura wa viongozi wa nchi na Serikali Wanachama wa SADC, Harare Zimbabwe
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Hoteli ya Rainbow, jijini Harare, Zimbabwe kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa dharura wa Viongozi wa Nchi Wanachama wa SDC, uliofunguliwa jana Aprili 29, 2015 na Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, Jijini unaojadili kuhusu Uendelezaji wa Viwanda.( Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake katika...
10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA DHARURA WA VIONGOZI WA NCHI NA SERIKALI.


10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AREJEA NCHINI BAADA YA KUHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA WA SADC, JIJINI HARARE, ZIMBABWE


10 years ago
Michuzi.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AREJEA NCHINI BAADA YA KUHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA WA SADC, JIJINI HARARE, ZIMBABWE, MUGABE AKABIDHI RASMI CHUO CHA UTUNZAJI AMANI
.jpg)
10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA 3 WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI (EAC) KUHUSU MIUNDOMBINU JIJINI NAIROBI, KENYA

10 years ago
MichuziMHE. Dkt. PINDI CHANA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA JINSIA NA MAENDELEO YA WANAWAKE WA NCHI ZA SADC, NCHINI HARARE, ZIMBABWE
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA KIUCHUMI NA MAENDELEO WA MISRI (EGYPT THE FUTURE).


10 years ago
Dewji Blog30 Nov
Dkt. Bilal aiwakilisha Tanzania katika mkutano wa 3 wa wakuu wa nchi za Afrika mashariki (EAC) jijini Nairobi, Kenya
Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal jana Novemba 29, 2014 aliiwakilisha Tanzania katika mkutano wa siku moja wa Wakuu wa Nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini...
10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA 20 WA KIMATAIFA KUHUSU MABADILIKO YA TABIA NCHI DUNIANI (COP 20) UNAOENDELEA JIJI LIMA NCHINI PERU