Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA KUSHIRIKI MAONYESHO NCHINI ITALIA

Mkurugenzi wa Biashara za Nje,Anna Bulondo, akizungumza katika mkutano wa maandalizi ya maonyesho ya 39 ya kimataifa ulifanyika katika viwanja vya SabaSaba jijini Dar es Salaam leo.

 Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE (katikati) akizungumza katika mkutano wa maandalizi ya maonyesho ya 39 ya kimataifa  ulifanyika katika viwanja vya SabaSaba jijini Dar es Salaam leo.


Mkurugenzi wa Biashara za Nje,Anna Bulondo, akizungumza katika mkutano wa maandalizi ya maonyesho ya 39 ya kimataifa ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKAMPUNI 1500 TOKA HAPA NCHINI NA 400 TOKA NJE YA NCHI YATARAJIWA KUSHIRIKI MAONYESHO YA SABA SABA MWAKA 2015

 Gari likiwa limebeba takataka katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam leo.  Mabanda ya maonyesho ya sabasaba yakiendelea kufanyiwa kukarabati kwaajili ya maonyesho yatakayoanza Juni 28 mwaka huu jijini Dar es Salaam.Wazee wa kilimo kwanza wakiwa katika maandalizi ya maonyesho ya sabasaba.  Wanawake nao katika harakati za kuweka mazingira ya kupendeza katika mabanda ya maonyesho ya sabasaba leo jijini Dar es Salaam. Mafundi wakitoa mizigo kwaajili maonyesho ya sabasaba jijini Dar...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim seif afungua kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji kwenye maonyesho la biashara ya Milan, Italia

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipeana mikono  na mmoja kati ya wafanyabiashara wa Italia huku baadhi ya wajumbe wa Tanzania wakishuhudia.  Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko wa Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, akiwasilisha taarifa inayohusu fursa za uwekezaji nchini Tanzania kwenye kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji nchini Italia. Baadhi ya washiriki wa kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji kwenye maonyesho la biashara ya Milan Italia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mataifa 31 kushiriki maonyesho Sabasaba

MATAIFA 31 na kampuni zaidi ya 500 zimethibitisha kushiriki maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba). Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade, Jacqueline Maleko, alieleza hayo jijini Dar es...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania, Waturuki kushiriki maonyesho Dar

WAFANYABIASHARA wa Tanzania wameshauriwa kushiriki kwenye maonyesho ya bidhaa za sekta mbalimbali kutoka Uturuki yatakayoanza kesho. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Balozi wa Uturuki nchini hapa,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

700 kushiriki maonyesho ya madini Arusha

WAFANYABIASHARA zaidi ya 700 kutoka nchi mbalimbali wanatarajiwa kushiriki maonyesho ya Kimataifa ya madini ya vito na usonara ya Arusha (AGF), yatakayofanyika kuanzia Novemba 18 hadi 20 jijini hapa. Mwenyekiti...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mamia kushiriki maonyesho ya elimu Dar

ZAIDI ya washiriki 500 na watembeleaji 350,000 kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajia kushiriki katika maonesho ya kwanza ya kimataifa ya elimu nchini (TIEE). Akizungumza jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUSHIRIKI MKUTANO WA TATU WA MAENDELEO ENDELEVU YA MIJI NA MAKAZI DUNIANI NCHINI KENYA

Ujumbe wa Tanzania Kwenye Kamati ya maandalizi ya Mkutano wa tatu wa Maendeleo endelevu ya Miji na Makazi Duniani (HABITAT 3) unaofanyija jijini Nairobi nchini Kenya. Ujumbe huo unaongozwa na Naibu katibu Mkuu,Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi Dkt.Seleseid D.Mayunga (MBELE KULIA). Wengine pichani ni Maafisa waandamizi wa serikali.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wajasirimali washauriwa kushiriki maonyesho yanayoandaliwa na SIDO

1

Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi akizungumza wakati wa kufungua mafunzo ya usindikaji nyanya,biashara na masoko yaliyohudhuriwa na wajasiriamali 36 kutoka Manispaa na Wilaya ya Singida.Kulia ni meneja wa SIDO mkoa wa Singida, Shoma Kibende.(Picha na Maktaba).

Na Nathaniel Limu, Singida

WAJASIRIAMALI Wilayani Singida wamehimizwa kujenga utamaduni wa kushiriki maonesho ya kanda ya kati yanayosimamiwa na SIDO ili pamoja na mambo mengine kutangaza bidhaa zao ziweze kupata soko la uhakika...

 

10 years ago

Vijimambo

Washiriki wa maonyesho ya kimataifa ya sanaa wakutana na Balozi wa Tanzania nchini Oman

Mkuu wa Utawala Ubalozi wa Tanzania nchini Oman Abdallah Kilima kushoto akimkaribisha Balozi wa Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia kutoa nasaha zake kwa Washiriki wa Maonesho ya mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Jimbo la Al-Amerat mjini Mascut, nchini Oman. Katikati ni Mkuu wa Msafara wa Watanzania hao Bi Khadija Batashy.Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh akitoa nasaha zake kwa Washiriki wa Maonesho ya mwezi mmoja ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani