Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunakwenda Congo kushindana au kushiriki?

KUNA wakati nawaza mambo kwa kina lakini majibu sipati.

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TANZANIA INAENDA KUSHIRIKI, SI KUSHINDANA

Mshindi wa Shindano la Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa, Jumamosi ya wiki iliyopita, alikwea pipa kuelekea jijini London, Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World, yanayotarajiwa kutimua vumbi Desemba 14, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Excel London. Mshindi wa Shindano la Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa. MAANDALIZI HAFIFU…
...

 

10 years ago

Habarileo

‘Tunakwenda vizuri BVR’

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista MhagamaSERIKALI imesema Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliopangwa kufanyika Oktoba mwaka huu hautaahirishwa na kuvionya vyama vya upinzani visitumie suala la uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuwatia hofu kwamba hautafanyika na kutumia kama mtaji wa kusababisha vurugu.

 

11 years ago

GPL

Julio: Tunakwenda Fifa kama alivyofanya Malinzi

Kocha Msaidizi wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.
Na Sweetbert Lukonge
MAMBO bado ni magumu mkoani Shinyanga, uongozi wa timu ya soka ya Mwadui ya mkoani humo, umedai kuwa upo tayari kutumia mamilioni ya fedha mpaka makao makuu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) ili kuhakikisha unapata haki yake ya kushiriki ligi kuu msimu ujao, kama Rais wa TFF, Jamal Malinzi alivyofanya wakati anataka uongozi...

 

9 years ago

Mwananchi

NATOA HOJA :Tunakwenda Brazaville kwa ajili ya kupata posho

Septemba 4 hadi 19 mwaka huu, mataifa ya Afrika, yanakusanyika Congo, Brazaville kwa ajili ya Michezo ya Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bolt kushindana na Gutlin wa Marekani

Usain Bolt hana tatizo la kushindana dhidi ya Justin Gatlin kwa kuwa anahisi kwamba marufuku ya miaka minne aliyopewa ilikuwa ya haki.

 

9 years ago

Bongo Movies

Gabo:Sijaona Muigizaji wa Kushindana Naye

Msanii wa filamu aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Salim Ahmed maarufu kwa jina la Gabo amesema haoni msanii anayempa changamato.

Akizungumza kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Gabo alisema wengi wamekuwa wakimwambia anaringa kutokana na kuwaambia ukweli.

“Kwa hapa Tanzania sijui ndio maana wanasema mimi naringa,” alisema Gabo alipoulizwa ni msanii gani anayempa changamoto.

“Nyuma alikuwa Single Mtambalike, sasa hivi sijaona wa kumtazama na kunipa changamoto tuweze...

 

5 years ago

Michuzi

KLABU TISA KUSHINDANA MASHINDANO YA TALISS-IST


Muogeleaji Singko Steiner wa Taliss-IST akishindana


Dar es Salaam. Jumla ya klabu tisa zitashiriki katika mashindano ya kuogelea ya Taliss-IST yaliyopangwa kufanyika Jumamosi na Jumapili kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST-Masaki) jijini.

Klabu hizo zitatoa jumla ya waogeleaji 228 ambao watashindana katika staili tano pamoja na relai kwa mujibu wa Meneja wa taliss-IST- Hadija Shebe.

Hadija alizitaja klabu hizo na ida ya waogeleaji wake kwenye mabano kuwa ni ...

 

9 years ago

Mtanzania

Frida wa BSS: Mazingira yanakwamisha wasichana kushindana

FRIDA AMANI BSSMSHINDI wa tatu katika shindano la Bongo Star Search (BSS) 2015, Frida Aman, amesema mazingira magumu na tamaduni kandamizi ndizo zinazochangia kumkandamiza msichana hasiweze kushindana na wanaume katika kila jambo ikiwemo muziki.

Alisema anaamini mazingira wanayopitia wasichana yangekuwa yanapitiwa na wavulana hali za ushindani zingekuwa sawa, lakini wasichana wengi wanaonekana kushindwa kwenda na kasi ya wavulana kwa kuwa tu mazingira yao yanatofautiana sana.

“Mimi naweza kutaka kujifunza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani