Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAYA: SIJAONA WA KUZAA NAYE

Stori: imelda Mtema Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona mwanaume ambaye anaweza kuwa naye na kumzalia mtoto kwani wote anawaona ni waluwalu. Staa wa Bongo Buvi Mayasa Mrisho, alimaarufu 'Maya'. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Maya alisema kuwa hakuna kitu anachokitamani kama kupata mtoto lakini kila akifikiria mtu anayeweza kupata...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Gabo:Sijaona Muigizaji wa Kushindana Naye

Msanii wa filamu aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Salim Ahmed maarufu kwa jina la Gabo amesema haoni msanii anayempa changamato.

Akizungumza kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Gabo alisema wengi wamekuwa wakimwambia anaringa kutokana na kuwaambia ukweli.

“Kwa hapa Tanzania sijui ndio maana wanasema mimi naringa,” alisema Gabo alipoulizwa ni msanii gani anayempa changamoto.

“Nyuma alikuwa Single Mtambalike, sasa hivi sijaona wa kumtazama na kunipa changamoto tuweze...

 

10 years ago

GPL

PENNY: NATAMANI MTOTO, SINA WA KUZAA NAYE

Stori: Imelda Mtema
Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ Penniel Mwingilwa amesema sasa anatamani kuzaa lakini tatizo lipo kwa mwanaume wa kuzaa naye. Penniel Mwingilwa.
Penny alitoa tamko hilo baada ya Diamond kunukuliwa jana (Alhamisi) na gazeti dada la hili, Amani kuwa, alimpa mimba mara mbili binti huyo lakini zikayeyuka katika mazingira ya kutatanisha. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni...

 

10 years ago

GPL

LUCY KOMBA AMPA MUMEWE SHARTI LA KUZAA NAYE

Stori: Imelda Mtema
SIKU chache baada ya kufunga ndoa, mwigizaji Lucy Komba amempa sharti mumewe ambaye ni raia wa Dernmark, Janus Stanley Landrock kwamba hatozaa naye hadi atakapokamilisha suala la uraia wake. Mwigizaji Lucy Komba akipozi. Akizungumza na paparazi wetu, Lucy alisema amemwambia mumewe akamilishe taratibu zote za nchini kwao ili yeye awe na uhalali wa kuishi nchini humo ndipo wazae watoto. “Unajua napenda...

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Cjamoker f/ Mabeste – Sijaona

IMG-20151116-WA0004

Ngoma mpya ya rapper Cjamoker aliomshirikisha Mabeste, ‘Sijaona.’

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo Movies

Jokate: Sijaona wa Kumwamini Kimapenzi

LICHA ya kuzagaa kwa tetesi juu ya uhusiano wake na msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba, mwanamitindo Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amesema kutokana na kuumizwa na mapenzi mara kwa mara, kwa sasa hajaona mwanaume wa kumuamini hivyo anaelekeza nguvu na akili zake kwenye kazi.

Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Jokate alisema ni ngumu kwa watu kuamini kuwa amekuwa akiumizwa na mapenzi mara kwa mara, kutokana na muonekano wa urembo alionao, lakini ukweli unabaki kuwa, anaumizwa na...

 

9 years ago

GPL

JOKATE: SIJAONA WA KUMWAMINI KIMAPENZI

Brighton Masalu LICHA ya kuzagaa kwa tetesi juu ya uhusiano wake na msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba, mwanamitindo Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amesema kutokana na kuumizwa na mapenzi mara kwa mara, kwa sasa hajaona mwanaume wa kumuamini hivyo anaelekeza nguvu na akili zake kwenye kazi.....Soma zaidi====>http://goo.gl/tNbHBG

 

10 years ago

GPL

MALICK: SIJAONA KAMA ROSE NDAUKA

Imelda Mtema/Ijumaa
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Malick Bandawe ambaye sasa anatamba na wimbo wake wa Tucheze amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa tangu atengane na mzazi mwenziye, Rose Ndauka bado hajatokea wa kumtetemesha. Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Malick Bandawe. Akizungumza na Ijumaa juzikati, Malick alisema kuwa huko nyuma alipomuona Rose alimtetemesha na kuamua kuingia mzimamzima mpaka kufikia hatua ya kupata...

 

11 years ago

GPL

MAMA KANUMBA: SIJAONA STAA WA KUMFANANISHA NA MWANANGU

MAMA wa msanii aliyekuwa nguli wa filamu nchini marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa  amenyanyua kinywa chake na kutema cheche kuwa katika mastaa wote wa filamu Bongo, hajaona hata mmoja wa kumfananisha na mwanaye kimuonekano na hata katika uigizaji wake. Flora Mtegoa. Akipiga stori na Centre Spread mama Kanumba alisema hayo kutokana na mastaa wengi kutamani awape nafasi ya kucheza kama Kanumba katika filamu yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani