MALICK: SIJAONA KAMA ROSE NDAUKA
![](http://api.ning.com:80/files/Xl7BOeGlGv8nUZQ5qUEDTHgBhd2CAjh2e-8CaKQf6cmrxbP7lWLAkp27XOEL522YeRhBtJ8A*Aoe9cwa9YKmvr8h0mZrhn-S/Rose.jpg)
Imelda Mtema/Ijumaa MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Malick Bandawe ambaye sasa anatamba na wimbo wake wa Tucheze amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa tangu atengane na mzazi mwenziye, Rose Ndauka bado hajatokea wa kumtetemesha. Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Malick Bandawe. Akizungumza na Ijumaa juzikati, Malick alisema kuwa huko nyuma alipomuona Rose alimtetemesha na kuamua kuingia mzimamzima mpaka kufikia hatua ya kupata...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rf021BwezXGq2McutSIVlCr-xTRa3cvqE05Fzfwj2iKJoM0d*vPNjJ7hThO8lyai5gPdndQrxlokn5BVrTzLh5XJo0Johnx4/rose.jpg)
MALICK: MWACHENI ROSE NDAUKA AJIRUSHE
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/-Tp1YHYBnk4/default.jpg)
10 years ago
GPL24 Feb
10 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/5lQ64ddQWNc/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycFhwt31oy7U4ORJMENKY9BM6cqo15IegDzbC7n1d97ePI0XcoH-v985NhQeTjaCBff5nAQq5UdcSNLl6xS5qoLU/rose.jpg)
ROSE NDAUKA HAKAMATIKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7r6sNXtBn71TOLW-G0NnokLcITIabRTPB5gbLawG4qmRtpa7BNIp5PYtKdfLreQ*DhJGaNWun1hd2pfvUVylc2O/rose.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AJIFUNGUA
10 years ago
Mtanzania05 May
Rose Ndauka apingana na mvua
Na Rhobi Chacha
WAKATI wakulima wakishangilia ujio wa mvua za wastani, mwigizaji Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua hizo kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Msanii huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,”...