Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MALICK: MWACHENI ROSE NDAUKA AJIRUSHE

Na Gladness Mallya BAADA ya msanii wa filamu Bongo, Rose Ndauka kuonekana akijiachia viwanja mbalimbali tofauti na alivyokuwa akiishi awali, mzazi mwenzake, Malick Bandawe, ameibuka na kumfungukia kuwa aachwe ajirushe. Malick Bandawe. Malick alifungua kinywa kufuatia madai kwamba alipokuwa akiishi na Rose alikuwa akimpa sheria kali na kumkataza kwenda ‘out’ ndiyo maana alikuwa hajiachii kama ilivyo sasa na hiyo ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE

Mwanamuziki Chiwa Malick Bandawe wakati akihojiwa na Global TV Online leo. Malick akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari wakati akihojiwa na Global TV Online.…

 

10 years ago

GPL

MALICK: SIJAONA KAMA ROSE NDAUKA

Imelda Mtema/Ijumaa
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Malick Bandawe ambaye sasa anatamba na wimbo wake wa Tucheze amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa tangu atengane na mzazi mwenziye, Rose Ndauka bado hajatokea wa kumtetemesha. Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Malick Bandawe. Akizungumza na Ijumaa juzikati, Malick alisema kuwa huko nyuma alipomuona Rose alimtetemesha na kuamua kuingia mzimamzima mpaka kufikia hatua ya kupata...

 

10 years ago

Bongo5

Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha

Msanii wa filamu Rose Ndauka ambaye alikuwa mbioni kufunga ndoa na mzazi mwenzake, msanii wa kundi la TNG, Malick Bandawe maarufu kama King Chiwaman wameachana kutokana na kutoelewana ndani ya mahusiano yao. Rose Ndauka na Chiwaman Akizungumza na bongo5 leo, Rose amesema wamejaribu kukaa chini na kuyaweka sawa mahusiano yao lakini imeshindika na kuona sulihisho […]

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA AJIFUNGUA

Stori: Imelda Mtema
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo jijini Dar. Rose Ndauka. Akizungumza na gazeti hili, Rose Ndauka alisema anamshukuru sana Mungu kwa kumjaalia kujifungua salama huku mwanaye huyo akiwa na afya njema. “Ki ukweli kabisa namshukuru sana Mungu kwa zawadi ya mtoto kwa maana nimejifungua...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA HAKAMATIKI

Stori: Musa Mateja
Acha kabisa! Baada ya kuachana na aliyekuwa mchumba’ke, Malick Bandawe kisha kurudi kwao, Kigogo jijini Dar, staa grade one wa Bongo Movies, Rose Donatus Ndauka anadaiwa hivi sasa hakamatiki hivyo hakauki viwanja. Staa grade one wa Bongo Movies, Rose Donatus Ndauka akiinjoi uhuru wa kuwa 'Single' Viwanja. Uchunguzi wa Ijumaa Wikienda ambalo limekuwa likimnyatia kwa ukaribu Rose unaonesha kwamba tangu...

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA ASAFISHA JIJI

Wakitoka kwenye viwanja vya mnazi mmoja kuelekea Lumumba kuanza kazi. Meya wa wilaya ya Ilala, Jerry Slaa akiwa kazini. Wakiwa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani