MAAFISA WA TUME YA UCHAGUZI: Watakiwa kufanyakazi zao kwa kuzingatia Sheria na taratibu!
baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku mbili kwa maafisa wa tume ya uchaguzi yaliyofanyika katika shule ya msingi Ikungi mchanganyiko
Na.Jumbe Ismailly.
[Ikungi-SINGIDA] Mkuu wa wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida ametoa wito kwa maafisa wa tume ya uchaguzi ngazi ya kata kuhakikisha viongozi watakaopatikana katika uchaguzi mkuu ujao wa Rais,wabunge na madiwani ni wale ambao wanatakiwa na wananchi na siyo wanaotakiwa na viongozi wa vyama vya siasa.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa wilaya ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
WASIMAMIZI WA UCHAGUZI SINGIDA: Watakiwa kusimamia shughuli zao kwa kuzingatia Haki,Uadilifu na kutopendela chama!
Mkuu wa wilaya ya Singida,Bwana Saidi Amanzi(aliyesimama) akifungua semina ya siku mbili kwa wasimamizi 42 kutoka jimbo la Singida kaskazini.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na. Jumbe Ismailly
[SINGIDA] MKUU wa Wilaya ya Singida,Saidi Amanzi amewaagiza wasimamizi wa uchaguzi wa wilaya hiyo kuhakikisha wanakwenda kusimamia shughuli za uchaguzi kwa kuzingatia haki,uadilifu,bila upendeleo na kwa kutoegemea upande wowote.
Mkuu wa wilaya huyo alitoa agizo hilo kwenye ufunguzi wa semina ya siku...
9 years ago
VijimamboUCHAGUZI MKUU MAANDALIZI KANDA YA ZIWA YAENDELEA VIZURI, Wasimamizi waaswa kuzingatia Sheria, kanuni na taratibu
Imefahamika kwamba maandalizi muhimu ya uchaguzi mkuu kwa mikoa ya kanda ya ziwa yanaendelea...
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kukemea vurugu na uvunjifu wa taratibu na sheria za uchaguzi
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Nyanduga.
Tamko La THBUB Kukemea Vurugu Na Uvunjifu Wa Taratibu Na Sheria
9 years ago
MichuziWASIMAMIZI WAASWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU
10 years ago
MichuziBASATA LAWATAKA WAANDAAJI WA MASHINDANO/MATUKIO YA SANAA KUZINGATIA KANUNI NA TARATIBU ZAO
Pia,amewataka waandaaji wa mashindano na matamasha katika vitongoji kuwa makini katika kusimamia taratibu kwani ndiyo wanaoandaa washiriki ambao baadaye wanakuja kushiriki kwenye ngazi ya...
9 years ago
StarTV24 Oct
Sekta binafsi Yalilia Uchaguzi wa Amani kwa kuzingatia sheria za nchi
Taasisi ya Sekta binafsi imewasisitiza wananchi kuzingatia sheria za uchaguzi zilizowekwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ZEC ili uchaguzi ufanyike kwa amani na kuepuka kuingia kwenye machafuko ya kisiasa.
Mkurugenzi wa Sekta Binafsi Godfrey Simbeye amesema mbali na sababu nyingine za kiuchumi amani iliyopo Tanzania ndiyo imechangia kwa kiasi kikubwa kuvutia wawekezaji na kukua kwa uchumi wa nchi mpaka kufikia asilimia Saba.
Simbeye amesema baadhi ya nchi za...
10 years ago
MichuziWAFUGAJI WATAKIWA KUFANYA SHUGHULI ZAO KWA KUFUATA SHERIA-CCWT
10 years ago
MichuziWAKANDARASI NCHINI WATAKIWA KUZINGATIA UBORA WA KAZI ZAO
Na Woinde shizza wa libeneke la kaskazini blog.
Wakandarasi nchini wametakiwa kuzingatia ubora ,viwango vya kazi zao ili kuweza kutekeleza kazi zao kwa ufanisi zaidi na kuweza kufanya bkazi yenye viwango vya hali ya juu pindi wanapo tekeleza miradi mbalimbali nchini.
Endapo wakandarasi wazawa wataweza kuzingatia taratibu za viwango vya ujenzi pindio wanapopata zabuni za miradi ya ujenzi hali hiyo itaongeza chachu ya mabadiliko na kuweza kushasishi serikali kuyweza kuwa...
9 years ago
StarTV01 Oct
Waratibu, wasimamizi watakiwa kuzingatia sheria
Waratibu, wasimamizi wa uchaguzi na wasaidizi wao katika majimbo mbalimbali nchini wametakiwa kuhakikisha wanazifahamu vyema sheria, kanuni na taratibu zinazotawala mchakato huo na kuzizingatia ipasavyo wakati wote wa utekekelezaji wa majukumu waliyopewa.
Lengo ni kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu ujao unakuwa huru na haki kwa kusimamia vyema zoezi la upigaji kura, kuhesabu, kujumlisha na kutangaza matokeo ili kudumisha amani na utulivu uliopo.
Zikiwa zimebaki siku 24 kabla ya kufanyika kwa...