Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNESCO bado kuridhia ujenzi bwawa la Stiegler’s Gorge kufua umeme

UNESCO-logo1

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limesema hakuna makubaliano yaliyofikiwa kati yake na mamlaka husika nchini Tanzania za kuwezeshwa kujengwa kwa bwawa la kufua umeme la Stiegler’s Gorge .

Ofisi za Shirika hilo zilizopo jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki wametoa taarifa ya kukanusha maelezo yaliyoandikwa na gazeti la The Guardian (ref:http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=72984) kwamba yapo maafikiano kuhusu ujenzi wa bwawa hilo.

Eneo la...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UCHIMBAJI ENEO LA KINA CHA LANGO LA KUINGILIA MAJI KWENYE MITAMBO WAKAMILIKA KATIKA MRADI WA BWAWA LA KUFUA UMME LA MWALIMU NYERERE

UJENZI wa eneo la lango (Water Intake) la kuingilia maji kwenda kwenye mitambo ya kufua umeme katika Mradi wa Julius Nyerere (Mw 2115) unatarajiwa kukamilika Februari mwaka 2022.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Msimamizi wa Ujenzi wa njia za maji pamoja na bwawa kwenye mradi huo Mhandisi Dismas Mbote amesema utekelezaji wa njia hiyo ulianza Mwezi Oktoba 2019 na kuongeza kazi ya uchimbaji wa lango imekamilika kwa kuchimbwa kina cha mita 53 ambapo hivi sasa kazi inayoendelea ni uondoaji...

 

10 years ago

Habarileo

Msolwa kufua umeme wa maji

SHIRIKA la Kanisa Katoliki la Stig Martin Fathers, linajenga mradi wa kufua umeme wa maji katika Kijiji cha Msolwa Kata ya Kisanga wilayani Kilosa, utakaogharimu Sh bilioni 9 hadi utakapokamilika. Rais Jakaya Kikwete aliweka jiwe la msingi la mradi huo wa umeme, juzi.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KALEMANI AFANYA ZIARA MRADI WA KUFUA UMEME WA JULIUS NYERERE MW 2115

Na Farida Saidy MorogoroWAZIRI wa Nishati Dkt Medard Kalemani amefanya ziara katika mradi wa ujenzi wa bwawa la kufua umeme wa JULIUS NYERERE MW 2115 ambapo amekagua maeneo mbalimbali katika mradi huo na kuridhishwa na kazi inayofanywa na mkandarasi kwa hatua aliyofikia. 
Aidha Dkt Kalemani amemtaka mkandarasi wa mradi huo kuhakikisha anakarabati barabara zote za nje na ndani ya mradi ambazo zinatumika kupitisha mizigo inayoenda kwenye mradi,sambamba na kumtaka mkandarasi huyo kumaliza kazi...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAFANYA ZIARA KATIKA MITAMBO YA KUFUA UMEME YA KINYEREZI 1

Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Wanja Mtawazo ( kulia) akisalimiana na Mbunge wa Lulindi- Masasi, Jerome  Bwanausi ( kushoto) ambaye ni mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini mara baada ya kamati hiyo kuwasili katika eneo la mtambo wa kufua umeme wa Kinyerezi I. Kamati hiyo inafanya ziara katika miradi ya umeme katika mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Singida, Arusha na Kilimanjaro pamoja na kuzungumza na wadau wa madini ya...

 

10 years ago

Michuzi

PROFESA MWANDOSYA ATEMBELEA BWAWA LA KUZALISHA UMEME LA MEROWE, SUDAN

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya ambaye yuko katika ziara ya kikazi nchini Sudan jana amtembelea moja ya miradi mikubwa ya kuzalisha umeme kwa kutumia mabwawa ambao unaendeshwa na Kampuni ya Merowe Dam Electricity Company. Mradi huu ambao uko Kaskazini mwa Nchi ya Sudan umejengwa kwa gharama ya USD 2.0 milioni ambapo Serikali ya Sudan imechangia 30% na zilizobaki ilikuwa misaada na mikopo kutoka kwa wafadhiliMradi umejengwa kando kando ya Mto Nile na una...

 

10 years ago

GPL

PROFESA MWANDOSYA ATEMBELEA BWAWA LA KUZALISHA UMEME LA MEROWE, SUDAN

Prof. Mwandosya, (wa pili mbele) ,na ujumbe wake, wakipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Ashraf Mustafa,kuhusu usimamizi,udhibiti,na uendeshaji wa mitambo ya kuzalisha umeme. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya ( wa sita toka kushoto) na ujumbe wake wakiwa na Uongozi wa Bwawa la Umeme la Merowe wakiwa mbele ya Kitoleo cha Maji(Spillway)… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi bwawa la Mahi wagharimu bil 1.4/-

SERIKALI imeeleza kuwa utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa bwawa la Mahi la Mahiga katika Jimbo la Kwimba umefikia asilimia 90 na sh bilioni 1.4 zimetumika. Kauli hiyo ilitolewa bungeni...

 

10 years ago

Habarileo

Vijiji 2 kumezwa ujenzi bwawa la Farkwa

VIJIJI viwili katika Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma vitaondolewa na kumezwa na maji ya bwawa la Farkwa ambalo litasambaza maji katika wilaya nne za Mkoa wa Dodoma.

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Mwandosya atembelea mradi wa ujenzi wa Bwawa Kuu la Ethiopia

Akiwa ziarani Ethiopia Waziri  wa Nchi (Kazi Maalum) Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya Mwandosya ametembelea mradi wa ujenzi wa Bwawa Kuu la Ethiopia (Great Ethiopian Renaissance Dam-GERD).Ujenzi utakapokamilika mwaka 2017 GERD litazalisha MW 6000 za umeme na kuwa mradi mkubwa wa aina yake Afrika na wa nane kwa ukubwa duniani. Mradi unahusu ujenzi wa bwawa kwenye Mto Blue Nile, kilomita 850 kutoka Addis Ababa.Waziri  wa Nchi (Kazi Maalum) Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya Mwandosya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani