Ujenzi bwawa la Mahi wagharimu bil 1.4/-
SERIKALI imeeleza kuwa utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa bwawa la Mahi la Mahiga katika Jimbo la Kwimba umefikia asilimia 90 na sh bilioni 1.4 zimetumika. Kauli hiyo ilitolewa bungeni...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Jun
MAJI: Mkopo wa Sh300 bil kujenga Bwawa la Kidunda
10 years ago
Habarileo21 Sep
Vijiji 2 kumezwa ujenzi bwawa la Farkwa
VIJIJI viwili katika Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma vitaondolewa na kumezwa na maji ya bwawa la Farkwa ambalo litasambaza maji katika wilaya nne za Mkoa wa Dodoma.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ZkqDdlPw_gs/VFM8Wsq1pnI/AAAAAAAGuUs/VYMfTF9N10g/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Profesa Mwandosya atembelea mradi wa ujenzi wa Bwawa Kuu la Ethiopia
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZkqDdlPw_gs/VFM8Wsq1pnI/AAAAAAAGuUs/VYMfTF9N10g/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
10 years ago
Dewji Blog20 Oct
UNESCO bado kuridhia ujenzi bwawa la Stiegler’s Gorge kufua umeme
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limesema hakuna makubaliano yaliyofikiwa kati yake na mamlaka husika nchini Tanzania za kuwezeshwa kujengwa kwa bwawa la kufua umeme la Stiegler’s Gorge .
Ofisi za Shirika hilo zilizopo jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki wametoa taarifa ya kukanusha maelezo yaliyoandikwa na gazeti la The Guardian (ref:http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=72984) kwamba yapo maafikiano kuhusu ujenzi wa bwawa hilo.
Eneo la...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-17zDSY9su3Y/VALq644EpcI/AAAAAAAGXzM/jGvyFe9VIpg/s72-c/1.jpg)
BODI YA WAKURUNGENZI YA DAWASA YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
![](http://2.bp.blogspot.com/-17zDSY9su3Y/VALq644EpcI/AAAAAAAGXzM/jGvyFe9VIpg/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-z0uPS6bT0ig/VALq81MuLtI/AAAAAAAGXzg/GGMazQUAD8E/s1600/2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog30 Aug
Bodi ya ya Wakurugenzi wa DAWASA yatembelea eneo la mradi wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda
Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.
Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John Kirecha...
9 years ago
Habarileo10 Oct
Uingereza yatoa bil 14/- ujenzi kambi za wakimbizi
SERIKALI ya Uingereza imetoa msaada wa Sh bilioni 14 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kambi mbili za wakimbizi mkoani Kigoma ili kupunguza msongamano katika kambi ya wakimbizi Nyarugusu.
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Mwigulu Awatimua Waliokula bil 5.7 Ujenzi wa Machinjio – Ruvu
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi akiwasili kwenye mradi uliodumaa wa Ujenzi wa machinjio ya kisasa wa ranchi ya Ruvu mapema hii leo. Sehemu ya jingo lililobaki kama Gofu mara baada ya kutelekezwa na Uongozi wa Bodi ya ranchi za Taifa(NARCO) Mwigulu Nchemba akishangaa namna mali hii ya Umma ilivyotekelezwa.
Mwigulu Nchemba akiendelea kupewa maelezo ya kina kuhusu ubadhilifu uliojitokeza kwenye ujenzi huu.Mh. Ridhiwani kikwete Mbunge wa Chalinze akitoa malalamiko yake kwa Waziri Mwigulu...
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Ujenzi chuo cha Veta Geita kutumia bil. 6.7/-
MAMLAKA ya Veta Kanda ya Ziwa imesema zaidi ya sh bilioni 6.7 zitatumika katika ujenzi wa chuo cha mafunzo ya Ufundi Stadi na Huduma mkoani hapa. Hayo yalibainishwa hivi karibuni...