Uingereza yatoa bil 14/- ujenzi kambi za wakimbizi
SERIKALI ya Uingereza imetoa msaada wa Sh bilioni 14 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kambi mbili za wakimbizi mkoani Kigoma ili kupunguza msongamano katika kambi ya wakimbizi Nyarugusu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-uY3DnqFOBR0/VVyMJmMIQ2I/AAAAAAAAa-Y/CefpYxDw97c/s640/B1.jpg)
KIPINDUPINDU TISHIO KAMBI YA WAKIMBIZI WA BURUNDI NYARUGUSU, OXFAM YATOA MSAADA WA MAJI SAFI NA VYOO
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Idadi ya Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu yaongezeka
Wakimbizi kutoka nchini Burundi walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.(PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).
Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya...
9 years ago
MichuziZOEZI LA KUWAPOKEA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA VIZURI KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU MKOANI KIGOMA
9 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA NA KUWATAKA WAKIMBIZI HAO WADUMISHE AMANI NA UTULIVU
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
11 wauawa kambi ya Wakimbizi,Somalia
11 years ago
BBCSwahili18 Apr
Wakimbizi wauawa katika kambi ya UN
10 years ago
Habarileo30 May
Wakimbizi waomba kuhamishwa kambi
WAKIMBIZI wa Burundi wameiomba serikali ya Tanzania kufanya haraka kuwahamishia katika kambi nyingine kutokana na kambi ya Nyarughusu kujaa mno.
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
IS yadhibiti kambi ya wakimbizi Syria
9 years ago
Mwananchi09 Sep
Idadi ya wakimbizi Kambi ya Nyarugusu yaongezeka