Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanakijiji wacheza muziki kushangilia umeme

WAKAZI wa kijiji cha Mbegasera wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, wameshindwa kuzuia furaha yao na kuamua kusakata muziki baada ya umeme kufika kijijini hapo na wananchi kuunganishwa kwenye nyumba zao, ambazo walilazimika kuezua sehemu ya nyasi na kuezeka kwa bati ili kufungiwa nishati hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Israel Habimana: Raia wa Rwanda aliyeuza mali yake kutengeneza bwawa la umeme kwa wanakijiji

Israel Habimana aliuza mali yake kutengeneza umeme unaotumika na familia 200 licha ya kwamba hakusoma

 

10 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAHIMIZA WANAKIJIJI KUFANYA KILIMO CHA BIASHARA, WAWAPA BURUDANI WANAKIJIJI.

 Baada ya washiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula  Shindano linalo endeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow na kudhaminiwa na Gates and Melinda Foundation,TBS, Cooperative Bank Great Britain na Care Tanzania, baada ya  kuwasili wote sasa wanapangwa makundi makundi kwa ajili ya kuanza mchakato wa siku Hapa katika kundi la kwanza washiriki wa Shindano la  Mama Shujaa wa Chakula , Shindano linaloendeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow hapa wakiwahamasisha wanakijiji cha...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZA KUSHANGILIA USHINDI

 Wafuasi wa CCM wakifurahia ushindi wa Magufuli kama alivyotangazwa na Tume yeye ndiye Rais Mteule kupitia kiti cha CCM Wafuasi wa CCM wakiwa makao makuu ya chama hicho Lumumba jijini Dar wakishangilia matokeo ya Urais kama yalivyotangazwa na Tume ya Uchaguzi na kumtangaza Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwamba ndiye Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni furaha kwa kwenda mbele
 Wafuasi wa CCM wakipiga Push up kama alivyokua akipiga mgombea wao Dr. John Pombe Joseph Magufuli...

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe washindana kushangilia bungeni

>Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba jana waligawanyika katika kushangilia hotuba ya ufunguzi wa Bunge hilo iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

Mwananchi

RC Arusha apiga marufuku mikusanyiko kushangilia matokeo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda  amepiga marufuku mikusanyiko na ushangiliaji wowote wa masuala ya kisiasa jijini Arusha na kuwataka wananchi kuwa watulivu wakati wakisubiri Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), kutangaza mshindi wa nafasi ya Uraisi.

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Habarileo

Ukawa waishangaza CCM kushangilia ubunge, kukataa matokeo ya urais

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinashangazwa na malalamiko ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwamba hawakubali matokeo ya urais yanayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), lakini huku wakishangilia ushindi katika majimbo waliyoshinda ambayo uchaguzi pia ulisimamiwa na NEC.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wacheza kamari ya Kombe, wachezwa

Wacheza kamari kutoka sehemu tofautii za dunia kwa simu na kwenye internet kuhusu Kombe la Kandana la Dunia, waliwa pesa zao Macau

 

11 years ago

Habarileo

Wajasiriamali wacheza bao wapigwa jeki

MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu amekichangia Sh 500,000 kikundi cha wajasiriamali wa Mlandege mjini Iringa kinachoundwa na wacheza bao 154.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani