PICHA ZA KUSHANGILIA USHINDI

Wafuasi wa CCM wakifurahia ushindi wa Magufuli kama alivyotangazwa na Tume yeye ndiye Rais Mteule kupitia kiti cha CCM
Wafuasi wa CCM wakiwa makao makuu ya chama hicho Lumumba jijini Dar wakishangilia matokeo ya Urais kama yalivyotangazwa na Tume ya Uchaguzi na kumtangaza Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwamba ndiye Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ni furaha kwa kwenda mbele
Wafuasi wa CCM wakipiga Push up kama alivyokua akipiga mgombea wao Dr. John Pombe Joseph Magufuli...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Mar
Wajumbe washindana kushangilia bungeni
11 years ago
Habarileo18 Sep
Wanakijiji wacheza muziki kushangilia umeme
WAKAZI wa kijiji cha Mbegasera wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, wameshindwa kuzuia furaha yao na kuamua kusakata muziki baada ya umeme kufika kijijini hapo na wananchi kuunganishwa kwenye nyumba zao, ambazo walilazimika kuezua sehemu ya nyasi na kuezeka kwa bati ili kufungiwa nishati hiyo.
10 years ago
Mwananchi29 Oct
RC Arusha apiga marufuku mikusanyiko kushangilia matokeo
10 years ago
Habarileo29 Oct
Ukawa waishangaza CCM kushangilia ubunge, kukataa matokeo ya urais
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinashangazwa na malalamiko ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwamba hawakubali matokeo ya urais yanayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), lakini huku wakishangilia ushindi katika majimbo waliyoshinda ambayo uchaguzi pia ulisimamiwa na NEC.
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Unaikumbuka hii ya mshika kibendera kushangilia goli na mchezaji kwa kucheza Gangnam Style? (+Video)
Achana na mzuka wa goli wakati mwingine unaweza jikuta unashangilia pasipo kupenda, unakumbuka headlines za marefa kushangilia magoli, unakumbuka ile hit single ya Gangnam Style ya msanii wa Korea PSY ambayo ilikuwa katika headlines za Dunia kwa kila mtu kuipenda. Licha ya kuwa wengi walikuwa wanaichukulia kama ya comedy. Naomba nikusogezee video ya muda kidogo ambayo […]
The post Unaikumbuka hii ya mshika kibendera kushangilia goli na mchezaji kwa kucheza Gangnam Style? (+Video) appeared...
11 years ago
Michuzi.jpg)
WAZIRI CHIKAWE AUNGANA NA MAAFISAWAKE KUSHANGILIA KUPITISHWA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, BUNGENI DODOMA
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Africanjam.Com23 Jun
PICHA: TAZAMA PICHA ZA ZINEDINE ZIDANE ENZI ZA UTOTO/UJANA WAKE






5 years ago
BBCSwahili06 Jun
Habari katika picha: Baadhi ya picha bora zilizopigwa barani Afrika
10 years ago
Bongo520 Feb
Picha: Huddah Monroe achefua tena, atupia picha akiwa uc*i kitandani! (18+)