Ukawa waishangaza CCM kushangilia ubunge, kukataa matokeo ya urais
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinashangazwa na malalamiko ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwamba hawakubali matokeo ya urais yanayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), lakini huku wakishangilia ushindi katika majimbo waliyoshinda ambayo uchaguzi pia ulisimamiwa na NEC.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Matokeo ya awali urais, ubunge yaanza kutolewa nchini
9 years ago
Mwananchi29 Oct
RC Arusha apiga marufuku mikusanyiko kushangilia matokeo
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
UKAWA watoa tamko la kutokubaliana na matokeo ya Urais yanayotolewa na NEC
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.
Ifuatayo ni taarifa aliyoisoma masaa machache yaliyopita katika mkutano wake na waandishi wa habari.
Ndugu waandishi wa habari;
Tumewaita hapa kuwaomba muwaeleze Watanzania wenzetu, jumuiya ya kimataifa na marafiki zetu wengine wa ndani na nje, kwamba hatukubaliani na matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),...
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Cuf yaungana na CCM kupinga matokeo ya ubunge
10 years ago
Mwananchi15 Dec
CCM, Ukawa katika matokeo ya awali
10 years ago
Habarileo18 Jul
Ubunge CCM kama urais
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaowania kibali cha chama hicho ili wagombee ubunge, wamejitokeza kwa wingi katika baadhi ya majimbo na kufanya mchakato huo kuwa na mvuto wa aina yake, unaofanana na ule wa urais.
10 years ago
Habarileo20 Jul
Vigogo wa urais CCM wageukia ubunge
WIKI moja baada ya CCM kumteua Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli kuwa mgombea wake wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, idadi kubwa ya washindani wake wamegeukia siasa za majimbo.
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Urais roho juu CCM, Ukawa
Patricia Kimelemeta na Aziza Masoud, Dar es Salaam
JOTO la kuwatangaza wagombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), linazidi kupanda huku kila upande ukimvizia mwenzake aanze kutangaza mgombea wake.
Hatua hiyo imekuja baada ya viongozi wa Ukawa katika mkutano wao na wanahabari kueleza mgombea wao atatangazwa Machi mwaka huu, lakini hadi sasa imepita miezi miwili bila kujulikana.
Wakati hayo yakiendelea ndani ya Ukawa, CCM...
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Urais 2015: CCM, Ukawa hapatoshi