Urais 2015: CCM, Ukawa hapatoshi
Harakati za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao inaonekana kushika kasi. Tayari wanasiasa kutoka pande mbili zinazovutana ndani ya chama tawala, CCM na kwa upande wa pili ndani ya kambi ya upinzani (Ukawa) wameanza kuweka mikakati.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Urais 2015: Ukawa waanza safari
11 years ago
Tanzania Daima02 May
UKAWA: Mgombea urais mmoja 2015
HATIMAYE Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umeweka hadharani dhamira yake ya kutaka vyama vinavyounda umoja huo kumsimamisha mgombea mmoja kwenye uchaguzi mkuu mwakani. Hatua hiyo ilitangazwa hadharani jana na...
10 years ago
Mwananchi18 Mar
Nani wa kuiwakilisha Ukawa urais 2015?
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Ukawa kusimamisha mgombea urais 2015
10 years ago
Mtanzania23 Jan
Ukawa wabuni mbinu mpya ya urais 2015
KIKAO cha pamoja kilichowakutanisha viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimetoa mikakati ya pamoja ikiwamo kuandaa ratiba ya uteuzi wa wagombea wa nafasi ya urais kwa kila chama.
Hatua hiyo imekuja baada ya kikao cha siri cha siku mbili kilichowakutanisha viongozi wa juu wa Ukawa ambao ni Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, Freeman Mbowe (Chadema), James Mbatia (NCCR-Mageuzi) na Dk. Emmanuel Makaidi (NLD).
Chanzo cha kuaminika kiliambia MTANZANIA jana kuwa katika kikao...
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Wagombea urais CCM wawanufaisha Ukawa
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Nyalandu: Urais CCM, Ukawa ni kivumbi
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Urais roho juu CCM, Ukawa
Patricia Kimelemeta na Aziza Masoud, Dar es Salaam
JOTO la kuwatangaza wagombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), linazidi kupanda huku kila upande ukimvizia mwenzake aanze kutangaza mgombea wake.
Hatua hiyo imekuja baada ya viongozi wa Ukawa katika mkutano wao na wanahabari kueleza mgombea wao atatangazwa Machi mwaka huu, lakini hadi sasa imepita miezi miwili bila kujulikana.
Wakati hayo yakiendelea ndani ya Ukawa, CCM...
9 years ago
Habarileo29 Oct
Ukawa waishangaza CCM kushangilia ubunge, kukataa matokeo ya urais
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinashangazwa na malalamiko ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwamba hawakubali matokeo ya urais yanayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), lakini huku wakishangilia ushindi katika majimbo waliyoshinda ambayo uchaguzi pia ulisimamiwa na NEC.