Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyalandu: Urais CCM, Ukawa ni kivumbi

Dar es Salaam. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema uchaguzi wa Rais ajaye utakuwa na ushindani mkubwa ndani na nje ya CCM, huku akibainisha kuwa haogopi mtu kati ya wote wanaotajwa kwenye kinyang’anyiro hicho, bali anawaheshimu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kivumbi wagombea urais 42 wa CCM

Hiki ni kivumbi. Kati ya wagombea 42 waliojitokeza kuwania urais kupitia CCM, anatakiwa kubaki mmoja tu na mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu unafungwa kesho.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI NYALANDU; URAIS USIWAGAWE WANA CCM

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana kwa furaha na Waziri mwenzake, Profesa Mark Mwandosya, wakati walipokutana Uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi, wakiwa kwenye harakati za kusaka wadhamini mkoani humo. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwaaga baadhi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye Ofisi ya CCM wilayani Mpanda, jana, wakiomba kumdhamini katika harakati zake za kuwania kupeperusha bendera ya Chama katika nafasi ya urais. Nyalandu alikuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Nyalandu ajitosa rasmi mbio za Urais kupitia CCM 2015

WAZIRI wa maliasili na utalii na mbunge wa jimbo la Singida kaskazini(CCM) ,Lazaro Samwel Nyalandu,ametangaza rasmi nia ya kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani.

 

10 years ago

Mtanzania

Urais roho juu CCM, Ukawa

napeslaaPatricia Kimelemeta na Aziza Masoud, Dar es Salaam
JOTO la kuwatangaza wagombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), linazidi kupanda huku kila upande ukimvizia mwenzake aanze kutangaza mgombea wake.
Hatua hiyo imekuja baada ya viongozi wa Ukawa katika mkutano wao na wanahabari kueleza mgombea wao atatangazwa Machi mwaka huu, lakini hadi sasa imepita miezi miwili bila kujulikana.
Wakati hayo yakiendelea ndani ya Ukawa, CCM...

 

10 years ago

Mwananchi

Wagombea urais CCM wawanufaisha Ukawa

Baada ya wiki nzima ya makada wa CCM kutangaza nia na hatimaye kuchukua fomu za kugombea urais, wapinzani ndio wanaonekana kunufaika zaidi kutokana na wengi kutumia hotuba zao kuelezea udhaifu wa kila mmoja.

 

10 years ago

Mwananchi

Urais 2015: CCM, Ukawa hapatoshi

Harakati za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao inaonekana kushika kasi. Tayari wanasiasa kutoka pande mbili zinazovutana ndani ya chama tawala, CCM na kwa upande wa pili ndani ya kambi ya upinzani (Ukawa) wameanza kuweka mikakati.

 

9 years ago

Habarileo

Ukawa waishangaza CCM kushangilia ubunge, kukataa matokeo ya urais

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinashangazwa na malalamiko ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwamba hawakubali matokeo ya urais yanayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), lakini huku wakishangilia ushindi katika majimbo waliyoshinda ambayo uchaguzi pia ulisimamiwa na NEC.

 

10 years ago

Mtanzania

Kivumbi cha CCM Majimbo matano leo

Patricia Kimelemeta na Esther Mnyika

UPIGAJI wa kura za maoni zinazorudiwa katika majimbo matano leo nchini katika Chama Cha Mapinduzi (CCM)unatarajiwa kuwa na mvutano mkubwa.

Majimbo yanayorudia uchaguzi na mikoa yake kwenye mabano ni Busega (Simiyu), Kilolo (Iringa), Rufiji (Pwani), Makete(Njombe)na Ukonga(Dar es Salaam).

Kamati Kuu ya CCM iliamuru uchaguzi huo urudiwe baada ya kubaini rafu na ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi wakati wa kura za maoni ambapo pia matokeo yake yanapaswa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani