WAZIRI NYALANDU; URAIS USIWAGAWE WANA CCM

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana kwa furaha na Waziri mwenzake, Profesa Mark Mwandosya, wakati walipokutana Uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi, wakiwa kwenye harakati za kusaka wadhamini mkoani humo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwaaga baadhi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye Ofisi ya CCM wilayani Mpanda, jana, wakiomba kumdhamini katika harakati zake za kuwania kupeperusha bendera ya Chama katika nafasi ya urais. Nyalandu alikuwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Nyalandu: Urais CCM, Ukawa ni kivumbi
5 years ago
Michuzi
DKT.MAGUFULI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM...WANA CCM WAIMBA 'MAGUFULI BABA LAOO'
Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amechukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) leo Juni 17,mwaka 2020 katika Makao ya Chama hicho Jijini Dodoma.
Dk.Magufuli anachukua fomu hiyo kwa ajili ya kuomba tena ridhaa ya kugombea nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM ikiwa ni awamu ya pili baada ya kumaliza awamu ya kwanza ya miaka mitano iliyoanzia mwaka 2015 mpaka mwaka 2020.Uchuguzi Mkuu mwaka huu unatarajia kufanyika...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Nyalandu ajitosa rasmi mbio za Urais kupitia CCM 2015
10 years ago
Michuzi
10 years ago
MichuziWANA CCM MKOANI SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA WAJITOKEZA KUMDHAMINI WAZIRI MAGUFULI
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Dewji Blog14 Jul
Mgombea urais kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli awasili jijini Dar, ajitambulisha kwa wana Dar Es Salaam
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere na kulakiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Mkoa wa Dar es salaam, Ambapo baadae Wagombea hao walitambulishwa kwenye mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es salaam.
Magufuli amekishukuru chama cha Mapinduzi na watanzania kwa...
10 years ago
Vijimambo
Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?

Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..
10 years ago
Vijimambo
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DR. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM NA AJITAMBULISHA KWA WANA DAR ES SALAAM
