UKAWA watoa tamko la kutokubaliana na matokeo ya Urais yanayotolewa na NEC
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.
Ifuatayo ni taarifa aliyoisoma masaa machache yaliyopita katika mkutano wake na waandishi wa habari.
Ndugu waandishi wa habari;
Tumewaita hapa kuwaomba muwaeleze Watanzania wenzetu, jumuiya ya kimataifa na marafiki zetu wengine wa ndani na nje, kwamba hatukubaliani na matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo30 Apr
9 years ago
Mwananchi19 Sep
NEC: Matokeo kura za urais kubandikwa vituoni
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/CSUG5mYXAAARAeX.png)
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-uN7-XJas8uk/VjIuasxCEOI/AAAAAAAA30M/ZU-zJ99rjq8/s72-c/tamko.jpg)
Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais
![](http://3.bp.blogspot.com/-uN7-XJas8uk/VjIuasxCEOI/AAAAAAAA30M/ZU-zJ99rjq8/s640/tamko.jpg)
Watanzania wenzangu!Leo tarehe 29 October 2015, kwa kupitia Mgombea Mwenza wangu, Mh. Juma Duni Haji nimewasilisha rasmi malalamiko yetu kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa 2015 kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Tumeainisha kwenye malalamiko yetu, kutokuridhishwa kwetu na mwenendo na matukio mbalimbali, hususani, utangazaji wa matokeo batili, yasiyo akisi matokeo halisi yaliyopatikana kwenye vituo vya kupiga kura, kama ifuatavyo.
• Upunguzwaji wa kura zangu• Kuongeza kura kwa...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/lulindi.jpg)
NEC YATANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS KWA MAJIMBO 3
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Jaji-Lubuva-620x309.jpg)
NEC YAKAMILISHA ZOEZI LA KUTANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS
9 years ago
Mwananchi21 Aug
NEC kutangaza matokeo urais ndani ya siku tatu
9 years ago
VijimamboNEC KUTANAGZA MATOKEO YA URAIS NDANI YA SIKU TANO.
Tume ya taifa ya uchaguzi imewatoa hofu watanzania kuwa katika uchaguzi wa mwaka huu imejiimarisha kimfumo wa kielektronic kuhakikisha matokeo yote yanayopatikana yanatangazwa ndani ya kipindi kifupi huku ikiahadi kutangaza matokeo ya urais ndani ya siku tano.Kwa mujibu wa tume ya taifa ya uchaguzi inasema katika kipindi hiki hakutakuwa na dosari zozote za kimfumo hasa taarifa za wagombea huku ikijinasibu kuwa kupitia mfumo wake...
9 years ago
Habarileo29 Oct
Ukawa waishangaza CCM kushangilia ubunge, kukataa matokeo ya urais
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinashangazwa na malalamiko ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwamba hawakubali matokeo ya urais yanayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), lakini huku wakishangilia ushindi katika majimbo waliyoshinda ambayo uchaguzi pia ulisimamiwa na NEC.