Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ubunge CCM kama urais

Dk Faustine Ndugulile (kushoto) akichukua fomu ya maombi ya kugombea ubunge jimbo la Kigamboni Dar es Salaam kutoka kwa katibu msaidizi wa CCM Temeke, Yohana Sengelema jana. (Picha na Yusuf Badi).WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaowania kibali cha chama hicho ili wagombee ubunge, wamejitokeza kwa wingi katika baadhi ya majimbo na kufanya mchakato huo kuwa na mvuto wa aina yake, unaofanana na ule wa urais.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Vigogo wa urais CCM wageukia ubunge

Profesa Sospeter Muhongo.WIKI moja baada ya CCM kumteua Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli kuwa mgombea wake wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, idadi kubwa ya washindani wake wamegeukia siasa za majimbo.

 

11 years ago

Mwananchi

Urais CCM kama vita

>Mpasuko ndani ya CCM unazidi kuongezeka baada ya viongozi wa chama hicho Mkoa wa Arusha na Wilaya ya Monduli kuibuka na kukemea ‘siasa za vitisho na hofu’ dhidi ya Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.

 

9 years ago

Habarileo

Ukawa waishangaza CCM kushangilia ubunge, kukataa matokeo ya urais

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinashangazwa na malalamiko ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwamba hawakubali matokeo ya urais yanayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), lakini huku wakishangilia ushindi katika majimbo waliyoshinda ambayo uchaguzi pia ulisimamiwa na NEC.

 

10 years ago

Vijimambo

Urais, ubunge kiza kinene CCM., Wagombea waendelea kuumiza vichwa.

Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Wakati wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiendelea kupiga `jalamba' kujiandaa kuchukua fomu za kuwania urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huu, chama hicho bado kimeweka usiri wa lini kitatoa ratiba rasmi ili kuwawezesha watu wanaotaka kuwania nafasi hizo kuanza kuchukua fomu.

Tofauti na miaka yote, chama hicho kikongwe kimekuwa kikitangaza ratiba mapema kuwawezesha wanachama wake kufahamu utaratibu wa...

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Dk Shein, awatambulisha Wagombea Ubunge na Uwakilishi wa Wilaya ya Amani Unguja Kichama

Wasanii wa Kikundi cha Big Star wakitowa burudani kwa wimbo maalum wa Kapeni wakati wa mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein.zilizofanyika katika viwanja vya mpira vya Urafiki mikunguni Unguja.Wanachi wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia na kutangaza Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa kipindi cha miaka mitano jinsi itakavyotekeleza mambo mbalimbali katika sekta ya Jamii na kuimarisha maslahi ya Wananchi wa Zanzibar.Mgombea Urais wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) SAMIA SULUHU HASSAN AWANADI WAGOMBEA UBUNGE WA MAJIMBO YA MKOA WA KILIMANJARO

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ,Samia Suluhu Hassan alipowasili uwanja wa Majengo mjini Moshi kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni wa hadhara.Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa kampeni ya Mgombea Mwenza wa Chama cha Mapinduzi alifanya mkutano wake katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi,Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha wagombea Ubunge katika majimbo matatu ya Moshi mjini (Dais...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano Mkuu wa CHADEMA wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.

Mkutano Mkuu wa CHADEMA kwa pamoja wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.

 

10 years ago

Habarileo

Kampeni za urais, ubunge Agosti 22

Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Damian LubuvaTUME ya Taifa ya Uchaguzi Nchini (NEC), imekata mzizi wa fitina na kufuta uvumi kwamba, kulikuwa na mpango wa kumwongezea Rais Jakaya Kikwete muda wa kukaa madarakani mara baada ya kumaliza awamu yake ya pili Oktoba mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani