Urais CCM kama vita
>Mpasuko ndani ya CCM unazidi kuongezeka baada ya viongozi wa chama hicho Mkoa wa Arusha na Wilaya ya Monduli kuibuka na kukemea ‘siasa za vitisho na hofu’ dhidi ya Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Kikwete aingilia kati vita ya urais CCM
10 years ago
Habarileo18 Jul
Ubunge CCM kama urais
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaowania kibali cha chama hicho ili wagombee ubunge, wamejitokeza kwa wingi katika baadhi ya majimbo na kufanya mchakato huo kuwa na mvuto wa aina yake, unaofanana na ule wa urais.
10 years ago
Mwananchi23 Feb
SIASA: Vita ya urais CCM nje nje
10 years ago
VijimamboMkutano Mkuu wa CHADEMA wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.
10 years ago
Mtanzania02 Jan
Pinda: Nachafuliwa vita ya urais
Na Walter Mguluchuma, Katavi
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema hahusiki kwa namna moja au nyingine katika kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 katika Akaunti ya Tegeta Escrow.
Pinda alisema watu wanaomtuhumu kuhusika na kashfa ya Escrow, wana lengo la kumchafulia mbio zake za kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Alisema yeye ni mtu mwadilifu, hajawahi kupokea au kutoa rushwa kwa mtu yeyote katika maisha yake.
“Sijawahi kutoa wala kupokea rushwa maishani mwangu, hata...
10 years ago
Mtanzania03 Feb
Vita ya urais yatua bungeni
Na Maregesi Paul, Dodoma
VITA ya urais imetua bungeni, baada ya mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), kuwatahadharisha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wasira, kwamba harakati zao za kugombea urais hazitafanikiwa kama watashindwa kutatua kero za wananchi.
Akichangia taarifa ya utekelezaji wa kazi za Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kwa kipindi cha mwaka 2014 mjini Dodoma jana, Lugola alisema kama mawaziri hao watataka...
10 years ago
Vijimambo02 Jan
Vita ya urais yashika kasi mtandaoni
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
VITA VYA URAIS 2015… Serikali yagawanyika
MHEMUKO wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwemo viongozi wa serikali kukimbilia kutangaza nia ya kumrithi Rais Jakaya Kikwete mwakani, umezigawa taasisi mbalimbali za serikali, binafsi na umma hivyo...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
VITA YA URAIS 2015: Sumaye amvaa January Makamba
WAZIRI Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, amewashukia wale wanaotumia kete ya umri kuwania urais na kwamba, hawafai kuwa viongozi wa taifa la Tanzania. Kauli hiyo, inaonekana ni kujibu mapigo ya...