Kikwete aingilia kati vita ya urais CCM
>Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ameingilia kati vita ya kuwania urais mwaka 2015 kwa kukemea kwa baadhi ya makada wa chama hicho kuanza kampeni mapema.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi05 Apr
KINANA AINGILIA KATI MGOGORO SUGU WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA MWENKEZAJI WILAYANI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana ameingilia kati Mgogoro wa ardhi uliokuwa ukifukuta kwa muda mrefu katika kijiji cha Mawenzusi,wilaya ya Sumbawanga mjini.Mgogoro huo uliohusu Wananchi na anayedaiwa kuwa Mwekezaji inaelezwa kuwa maamuzi yalikwishatolewa na Mh.Rais Jakaya Kikwete,kuwa Wananchi wapewe kipao mbele na Mwekezaji apewe kiasi,lakini mpaka sasa hakuna lililotekelezwa kufuatia Watendaji waliokuwa wamepewa dhamana ya kulisimamia jambo hilo kusua sua na hatimaye kutopatiwa...
10 years ago
Habarileo04 Jun
Kandoro aingilia kati sakata la mjamzito
SAKATA la unyanyasaji aliofanyiwa mjamzito Judith Komba siku ya kujifungua katika hospitali ya Rufaa kitengo cha wazazi cha Meta, limechukua sura mpya baada ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro kuagiza wauguzi waliokuwa zamu siku ya tukio wachukuliwe hatua stahiki.
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Mangu aingilia kati sakata la TRA, Polisi
Sakata la wakwepa kodi mkoani Kagera limechukua sura mpya baada ya Mkuu wa Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu kumuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, George Mayunga kuwachunguza na kuwatia mbaroni askari wanaotuhumiwa kushirikiana na wafanyabiashara wa pombe kali maarufu viroba wanaokwepa kodi.
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Urais CCM kama vita
>Mpasuko ndani ya CCM unazidi kuongezeka baada ya viongozi wa chama hicho Mkoa wa Arusha na Wilaya ya Monduli kuibuka na kukemea ‘siasa za vitisho na hofu’ dhidi ya Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6ZK2wO853WJjm8loo4RhgE8p0quslecjLgxX-a7DpIK4YE2qg8s8qyPiA*0J2ivqEimFHf84ZAEX3CGGynagXaF/isabela.jpg?width=650)
MAMA LORAA AINGILIA KATI PENZI LA ISABELA, KALAMA!
MAMA mlezi wa wasanii wa filamu Bongo, Catherine Ambakisye ‘Mama Loraa’ ameingilia kati penzi la wasanii wawili, Isabela Mpanda na Luteni Kalama lililovunjika na kuwapatanisha. Wasanii wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda na Luteni Kalama wakiwa katika pozi. Isabela amethibitisha kuwa ni kweli wamewekwa kiti moto na Mama Loraa ambapo walikubali kurudiana na kudai ni onyo la mwisho kwa Kalama na kama atarudia tabia za...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJD*oNmDWICP6rsjfxdjThp7t6nOVaAa5oGFBQEqGMk-SMisDEzseEPVB2sOVLWZ-LSRUw*Zu-iYER6LKqjNWPCF/SNURA.jpg?width=650)
SNURA MUSHI AINGILIA KATI BIFU LA WEMA, KAJALA
Na Chande Abdallah na Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu na muziki, Snura Mushi ameingilia kati ugomvi wa wasanii wenzake, Wema Sepetu na Kajala Masanja na kuwaagiza wamalize tofauti zao. Msanii wa filamu na muziki, Snura Mushi a.k.a mama majanga. Wasanii hao ambao wameingia kwenye bifu la kufa mtu kufikia hatua ya kuanikana kwenye vyombo vya habari huku chanzo kikubwa kikitajwa ni shilingi milioni 13 ambazo Wema alimlipia...
11 years ago
Mwananchi21 May
Sadiki aingilia kati ujenzi kituo cha basi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki ametoa siku 14 kwa Manispaa ya Kinondoni kukamilisha kituo cha muda cha daladala kitakachotumika kama mbadala wa Kituo cha Daladala cha Ubungo.
9 years ago
Mwananchi14 Dec
Waziri Nchemba aingilia kati mapigano ya wakulima, wafugaji Mvomero
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba ameiagiza kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Mvomero kuimarisha ulinzi maeneo yote yenye migogoro kufuatia kutokea mapigano kati ya wakulima na wafugaji na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/2QnKqCSHrMo/default.jpg)
KIJANA ANUSURIKA KUUAWA KISA WIZI MAMA AINGILIA KATI KUMUOKOA KIFO
Kijana mmoja mkazi wa Kigogo Sukita jijini Dar es Salam ameambulia kipigo kizito kutoka kwa wananchi wenye hasira kali na kufikia hatua ya kutaka kumchoma moto kutokana na kitendo cha kumuibia simu na shilingi elfu therasini mwanadada ambaye naye ni mkazi wa eneo hilo.
Kutokana na kipondo cha aina yake alichokuwa akipewa na wananchi hao wenye hasira kali walionekana kumpania kutokana na vitendo vyake vya wizi wa mara kwa mara na kutokana na kipigi hicho kilichomfanya atapakae damu mwilimzima,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania