Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sadiki aingilia kati ujenzi kituo cha basi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki ametoa siku 14 kwa Manispaa ya Kinondoni kukamilisha kituo cha muda cha daladala kitakachotumika kama mbadala wa Kituo cha Daladala cha Ubungo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KINANA AINGILIA KATI MGOGORO SUGU WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA MWENKEZAJI WILAYANI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana ameingilia kati Mgogoro wa ardhi uliokuwa ukifukuta kwa muda mrefu katika kijiji cha Mawenzusi,wilaya ya Sumbawanga mjini.Mgogoro huo uliohusu Wananchi na anayedaiwa kuwa Mwekezaji inaelezwa kuwa maamuzi yalikwishatolewa na Mh.Rais Jakaya Kikwete,kuwa Wananchi wapewe kipao mbele na Mwekezaji apewe kiasi,lakini mpaka sasa hakuna lililotekelezwa kufuatia Watendaji waliokuwa wamepewa dhamana ya kulisimamia jambo hilo kusua sua na hatimaye kutopatiwa...

 

10 years ago

Habarileo

Kandoro aingilia kati sakata la mjamzito

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas KandoroSAKATA la unyanyasaji aliofanyiwa mjamzito Judith Komba siku ya kujifungua katika hospitali ya Rufaa kitengo cha wazazi cha Meta, limechukua sura mpya baada ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro kuagiza wauguzi waliokuwa zamu siku ya tukio wachukuliwe hatua stahiki.

 

9 years ago

Michuzi

MODEWJI FOUNDATION YASAIDIA UJENZI WA MADARASA KITUO CHA MAFUNZO CHA FURAHINI.

Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akiwa ameambata na wafanyakazo wa kampuni ya METL walipotembelea kituo cha mafunzo cha Furahini cha wilayani Mwanga.  Afisa Udhibiti wa Ubora wa elimu ya msingi wilaya ya Mwanga ,Richard Joachim akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kituo cha mafunzo cha vijana cha Furahini klichopo Kisangara wilayani Mwanga.  Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akifungua mfano wa hundi kwa ajili ya kukabidhi kwa...

 

11 years ago

Michuzi

IPTL yapiga jeki ujenzi wa kituo cha polisi cha Mbweni- Malindi

 Meneja Mkuu wa Utawala na Rasilimali wa Jeshi la Polisi la Tanzania, Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye (kulia) akifurahia jambo na Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Bw. Harbinder Sethi (kushoto), wakati akipokea hundi ya shilingi milioni 10 iliyotolewa na IPTL kuchangia ujenzi wa kituo cha Polisi cha Mbweni-Malindi. Katikati ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum la kipolisi Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi, Suleiman Kova. Meneja Mkuu wa Utawala...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU: HAJARIDHISHWA NA UJENZI WA JENGO LA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA YA FORODHA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na ujenzi wa jengo la kituo cha pamoja cha huduma ya forodha kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya eneo la Horohoro, Tanga ambacho ujenzi wake umegharimu sh. bilioni 7.6.
“Jengo hili kuta tayari zimeshaanza kuvimba, kwa nini majengo ya TRA (Mamlaka ya Mapato Tanzania) yanajengwa kwa kiwango cha chini na kwa nini mmeruhusu majengo haya yatumike,” amehoji Waziri Mkuu.
Kufuatia hali hiyo Waziri Mkuu amemtaka Afisa Miliki wa TRA, Bw. Haruna...

 

11 years ago

Mwananchi

Mangu aingilia kati sakata la TRA, Polisi

Sakata la wakwepa kodi mkoani Kagera limechukua sura mpya baada ya Mkuu wa Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu kumuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, George Mayunga kuwachunguza na kuwatia mbaroni askari wanaotuhumiwa kushirikiana na wafanyabiashara wa pombe kali maarufu viroba wanaokwepa kodi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete aingilia kati vita ya urais CCM

>Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ameingilia kati vita ya kuwania urais mwaka 2015 kwa kukemea kwa baadhi ya makada wa chama hicho kuanza kampeni mapema.

 

11 years ago

GPL

MAMA LORAA AINGILIA KATI PENZI LA ISABELA, KALAMA!

MAMA mlezi wa wasanii wa filamu Bongo, Catherine Ambakisye ‘Mama Loraa’ ameingilia kati penzi la wasanii wawili, Isabela Mpanda na Luteni Kalama lililovunjika na kuwapatanisha. Wasanii wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda na Luteni Kalama wakiwa katika pozi. Isabela amethibitisha kuwa ni kweli wamewekwa kiti moto na Mama Loraa ambapo walikubali kurudiana na kudai ni onyo la mwisho kwa Kalama na kama atarudia tabia za...

 

11 years ago

GPL

SNURA MUSHI AINGILIA KATI BIFU LA WEMA, KAJALA

Na Chande Abdallah na Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu na muziki, Snura Mushi ameingilia kati ugomvi wa wasanii wenzake, Wema Sepetu na Kajala Masanja na kuwaagiza wamalize tofauti zao. Msanii wa filamu na muziki, Snura Mushi a.k.a mama majanga. Wasanii hao ambao wameingia kwenye bifu la kufa mtu kufikia hatua ya kuanikana kwenye vyombo vya habari huku chanzo kikubwa kikitajwa ni shilingi milioni 13 ambazo Wema alimlipia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani