Pinda: Nachafuliwa vita ya urais
Na Walter Mguluchuma, Katavi
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema hahusiki kwa namna moja au nyingine katika kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 katika Akaunti ya Tegeta Escrow.
Pinda alisema watu wanaomtuhumu kuhusika na kashfa ya Escrow, wana lengo la kumchafulia mbio zake za kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Alisema yeye ni mtu mwadilifu, hajawahi kupokea au kutoa rushwa kwa mtu yeyote katika maisha yake.
“Sijawahi kutoa wala kupokea rushwa maishani mwangu, hata...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MH. PINDA AMJULIA HALI MBUNGE VITA KAWAWA

.jpg)
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Urais CCM kama vita
10 years ago
Mtanzania03 Feb
Vita ya urais yatua bungeni
Na Maregesi Paul, Dodoma
VITA ya urais imetua bungeni, baada ya mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), kuwatahadharisha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wasira, kwamba harakati zao za kugombea urais hazitafanikiwa kama watashindwa kutatua kero za wananchi.
Akichangia taarifa ya utekelezaji wa kazi za Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kwa kipindi cha mwaka 2014 mjini Dodoma jana, Lugola alisema kama mawaziri hao watataka...
11 years ago
Mwananchi15 May
Pinda atangaza vita na mameya, wenyeviti wanaokuza migogoro
10 years ago
Vijimambo02 Jan
Vita ya urais yashika kasi mtandaoni

11 years ago
Mwananchi03 Feb
Kikwete aingilia kati vita ya urais CCM
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
VITA VYA URAIS 2015… Serikali yagawanyika
MHEMUKO wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwemo viongozi wa serikali kukimbilia kutangaza nia ya kumrithi Rais Jakaya Kikwete mwakani, umezigawa taasisi mbalimbali za serikali, binafsi na umma hivyo...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
VITA YA URAIS 2015: Sumaye amvaa January Makamba
WAZIRI Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, amewashukia wale wanaotumia kete ya umri kuwania urais na kwamba, hawafai kuwa viongozi wa taifa la Tanzania. Kauli hiyo, inaonekana ni kujibu mapigo ya...
10 years ago
Dewji Blog17 Jan
Pinda amtembelea mbunge Vita Kawawa anayepatiwa matibabu hospitali ya AMI jijini Dar
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Namtumbo, MheshimiwaVita Kawawa ambaye amelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam kwa matibabu. Kushoto ni mke wa mbunge huyo, Siwa Kawawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Namtumbo, MheshimiwaVita Kawawa ambaye amelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam kwa matibabu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)