Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vita ya urais yatua bungeni

Mh.-Stephen-WassiraNa Maregesi Paul, Dodoma

VITA ya urais imetua bungeni, baada ya mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), kuwatahadharisha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wasira, kwamba harakati zao za kugombea urais hazitafanikiwa kama watashindwa kutatua kero za wananchi.
Akichangia taarifa ya utekelezaji wa kazi za Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kwa kipindi cha mwaka 2014 mjini Dodoma jana, Lugola alisema kama mawaziri hao watataka...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Sinema ya Maliasili yatua bungeni

SERIKALI imebanwa itoe ufafanuzi wa utata uliojitokeza katika Wizara ya Maliasili na Utalii, baada ya Katibu Mkuu, Maimuna Tarishi kutengua uamuzi wa waziri wake, Lazaro Nyalandu na kuwarejesha kazini vigogo...

 

10 years ago

Habarileo

Miswada 7 mipya ya sheria yatua bungeni

SERIKALI imewasilisha bungeni miswada sita mipya ambayo imesomwa jana kwa mara ya kwanza.

 

11 years ago

Mwananchi

Vita ya Sendeka, Muhongo yakolea bungeni

Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka (CCM) amejibu mapigo ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akisema waziri huyo ni mbumbumbu kutokana na kitendo chake cha kuwasilisha tuhuma dhidi yake bungeni, huku akitaka achukuliwe hatua na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vita vya Seif, Hamad vyahamia bungeni

MJUMBE wa Bunge la Katiba, Hamad Rashid Mohammed, amelazimika kutumia Bunge Maalum la Katiba kujibu mashambulizi ya hasimu wake kisiasa, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif...

 

11 years ago

Mwananchi

Urais CCM kama vita

>Mpasuko ndani ya CCM unazidi kuongezeka baada ya viongozi wa chama hicho Mkoa wa Arusha na Wilaya ya Monduli kuibuka na kukemea ‘siasa za vitisho na hofu’ dhidi ya Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda: Nachafuliwa vita ya urais

Mizengo-Pinda

Na  Walter Mguluchuma, Katavi
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema hahusiki kwa namna moja au nyingine katika kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 katika Akaunti ya Tegeta Escrow.
Pinda alisema watu wanaomtuhumu kuhusika na kashfa ya Escrow, wana lengo la kumchafulia mbio zake za kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Alisema yeye ni mtu mwadilifu, hajawahi kupokea au kutoa rushwa kwa mtu yeyote katika maisha yake.
“Sijawahi kutoa wala kupokea rushwa maishani mwangu, hata...

 

10 years ago

Vijimambo

Vita ya urais yashika kasi mtandaoni

Dar es Salaam. Wakati safari ya kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ikipamba moto, kumeibuka makundi ya watu yaliyofungia akaunti katika mitandao ya kijamii yakiwaunga mkono baadhi ya wanasiasa waliotangaza au wanaotajwa kuwa na nia ya kugombea urais ya kuwashambulia washindani wao.Kila kundi limejipatia wafuasi wengi ambao wanaonyesha kumkubali mwanasiasa husika wanayedhani anafaa kuwa rais wa Tanzania endapo atapitishwa na chama chake na kupigiwa kura na wananchi.Hata hivyo,...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete aingilia kati vita ya urais CCM

>Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ameingilia kati vita ya kuwania urais mwaka 2015 kwa kukemea kwa baadhi ya makada wa chama hicho kuanza kampeni mapema.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani