Vita ya Sendeka, Muhongo yakolea bungeni
Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka (CCM) amejibu mapigo ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akisema waziri huyo ni mbumbumbu kutokana na kitendo chake cha kuwasilisha tuhuma dhidi yake bungeni, huku akitaka achukuliwe hatua na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Jun
Vita ya Werema, Kafulila yakolea
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Sendeka: Muhongo, Maswi wezi
WABUNGE jana waligeuza Ukumbi wa Bunge sehemu ya mnyukano baada ya baadhi yao kushambuliana, huku wakituhumiana kwa wizi na wamehongwa na uongozi wa Kampuni ya kufua umeme wa dharura ya...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Ole Sendeka awashukia Muhongo, Maswi
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Vita vya Profesa Muhongo
10 years ago
Mwananchi05 Feb
Tibaijuka, Muhongo wakosekana bungeni
10 years ago
Vijimambo25 Nov
Muhongo ahusishwa wizi nyaraka za Escrow bungeni
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Muhongo-November25-2014.jpg)
Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, ametajwa kuwa na uhusiano wa karibu na mmoja kati ya vijana wawili wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kuiba kutoka Ofisi ya Katibu wa Bunge ripoti ya ukaguzi wa hesabu za zaidi ya Sh. bilioni 300 zilizochotwa kifisadi kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Ukaguzi huo ulifanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Lema, Nassari wadai watamtoa Muhongo bungeni kwa mabavu
10 years ago
Mtanzania03 Feb
Vita ya urais yatua bungeni
Na Maregesi Paul, Dodoma
VITA ya urais imetua bungeni, baada ya mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), kuwatahadharisha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wasira, kwamba harakati zao za kugombea urais hazitafanikiwa kama watashindwa kutatua kero za wananchi.
Akichangia taarifa ya utekelezaji wa kazi za Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kwa kipindi cha mwaka 2014 mjini Dodoma jana, Lugola alisema kama mawaziri hao watataka...